Friends of Athanas Mbele -FOAM

Directions Contact the business

Friends of Athanas Mbele -FOAM Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Friends of Athanas Mbele -FOAM, Wundanyi.

Official Fan page of Athanas Mbele Mwachia founder of Athanas Mbele Foundation and a Farmer championing transformative development and a future shaped by Servant Leadership, guided by a deep commitment to serving God and the people.

“Bwana ndiye mchungaji wangu, sitapungukiwa na kitu.”— Zaburi 23:1
28/09/2026

“Bwana ndiye mchungaji wangu, sitapungukiwa na kitu.”
— Zaburi 23:1

Athanas Mbele joined the family of Nelpha Mghange Dawida in mourning and paying tribute to the departed loved ones, who ...
26/09/2026

Athanas Mbele joined the family of Nelpha Mghange Dawida in mourning and paying tribute to the departed loved ones, who were laid to rest after their passing.
He stood with the family, relatives, friends and members of the community during this difficult moment, sharing messages of comfort, condolences and solidarity with the bereaved family.
The loss of a brother and a son has left the family with deep sorrow and grief. Athanas Mbele conveyed his heartfelt condolences, praying that God grants the family strength, comfort and peace as they come to terms with the loss.
May their souls rest in eternal peace, and may God comfort the family during this difficult time.


Athanas Mbele Aanza Mpango wa Chakula kwa Watahiniwa Eneo Bunge la WundanyiMpango wa kutoa chakula kwa ajili ya watahini...
25/09/2026

Athanas Mbele Aanza Mpango wa Chakula kwa Watahiniwa Eneo Bunge la Wundanyi

Mpango wa kutoa chakula kwa ajili ya watahiniwa umeanza rasmi katika shule mbalimbali ndani ya Eneo Bunge la Wundanyi, huku Athanas Mbele akianza kutekeleza mpango huo kwa lengo la kuwasaidia wanafunzi kupata lishe bora wakati wa kipindi cha mitihani.

Miongoni mwa shule ambazo tayari zimepokea chakula hicho, kinachojumuisha Chapati za Exams, ni Lushangonyi Comprehensive School, Ndumbinyi Comprehensive School ,Mwanda Comprehensive school na Vuria Comprehensive School.

Mpango huu pia unalenga kupunguza gharama na mzigo wa wazazi, ili wazazi waweze kupata nafuu wakati watoto wao wanaendelea na mitihani.

Zoezi hilo litaendelea katika shule nyingine ndani ya Eneo Bunge la Wundanyi, huku msisitizo ukiwa ni kuhakikisha watahiniwa wanapata mazingira mazuri ya kufanya mitihani yao.

Lishe Bora, Elimu Kipaumbele.

21/09/2026
Mwanzo wa wiki hii uwe mwanzo wa mambo mapya, fursa mpya na sababu mpya za kumshukuru Mungu.  Kila unachokipanga kifanik...
21/09/2026

Mwanzo wa wiki hii uwe mwanzo wa mambo mapya, fursa mpya na sababu mpya za kumshukuru Mungu. Kila unachokipanga kifanikiwe, kila kinachokusumbua kipate suluhisho, na kila hatua utakayopiga ikukaribishe zaidi kwenye ndoto zako.
Usiogope kuanza tena, Mungu bado anaandika ukurasa mzuri kwenye maisha yako.
Wiki njema na yenye baraka kwako na kwa familia yako.

“Bwana yu karibu nao waliovunjika moyo, huwaokoa waliopondeka roho.” — Zaburi 34:18
19/09/2026

“Bwana yu karibu nao waliovunjika moyo, huwaokoa waliopondeka roho.” — Zaburi 34:18

19/09/2026

Elimu bora huenda sambamba na lishe bora. Katika juhudi za kuhakikisha wanafunzi wanapata mazingira bora ya kujifunza, Athanas Mbele ameendelea kusimamia mpango wa utoaji wa chakula kwa wanafunzi katika shule mbalimbali ndani ya Eneo Bunge la Wundanyi.

Mpango huu unalenga kusaidia wanafunzi kupata mlo wenye lishe wanapokuwa shuleni, jambo linalochangia ustawi wao na kuwapa nguvu ya kuendelea na masomo yao.

Kutoka shule moja hadi nyingine, chakula kinaendelea kuwafikia wanafunzi, huku msisitizo ukiwekwa katika kuhakikisha hakuna mtoto anayesoma akiwa na njaa.

Kwa Athanas Mbele, lishe bora ni sehemu muhimu ya kuweka msingi imara wa elimu na mustakabali wa watoto wetu.

Lishe Bora, Elimu Kipaumbele.

MTUMISHI ATHANAS MBELE
17/09/2026

MTUMISHI ATHANAS MBELE

Kutoka Kulisha Wanafunzi hadi Kufungua Uchumi wa JamiiMpango wa Athanas Mbele wa Kulisha Wanafunzi Shuleni ulianza mwaka...
17/09/2026

Kutoka Kulisha Wanafunzi hadi Kufungua Uchumi wa Jamii

Mpango wa Athanas Mbele wa Kulisha Wanafunzi Shuleni ulianza mwaka 2023 kupeana Indomie kwa Shule, ikiwa na mwazo mdogo lakini lenye maono makubwa: kusaidia wanafunzi kupata chakula huku akifungua fursa za kiuchumi kwa jamii.

Safari imekua hatua kwa hatua:

2023 — Indomie Kwa shule.
2024 — Mpango wa Chapoo wa C&Above
2025 — Chapoo for Exams ukafikia shule 25.
2026 — Kilo 30,000 za mahindi zikasambazwa kwa shule 51.
2026 — Chapoo for Exams kupanuka hadi shule 76.

Lakini hii si kuhusu chakula pekee.

Chapoo inapangwa kuwa mpango wa kila Ijumaa, unaolenga kuunda zaidi ya ajira 300 za vibarua kila Ijumaa, kuanzia saa 10:00 alfajiri hadi saa 7:00 mchana, huku tukinunua mazao kutoka kwa wakulima wa eneo hili.

Wazo ni moja: mtoto apate chakula, mkulima apate soko, mama/baba apate kazi, familia ipate kipato na fedha ziendelee kuzunguka ndani ya uchumi wa jamii.

Kutoka Indomie hadi Mahindi na Chapoo. Kutoka shule 25 hadi shule 76. Kutoka mpango wa kulisha wanafunzi hadi mpango unaofungua fursa za kiuchumi.

Every new day is a fresh opportunity to rise, believe and move closer to your dreams. Don’t let yesterday’s challenges d...
17/09/2026

Every new day is a fresh opportunity to rise, believe and move closer to your dreams. Don’t let yesterday’s challenges define today’s possibilities.

Trust God, stay focused, work hard and keep moving forward. Your story is still being written—make today count.

Address

Wundanyi

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Friends of Athanas Mbele -FOAM posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Friends of Athanas Mbele -FOAM:

Shortcuts

Share