Trended today full HD

Trended today full HD Informações para nos contactar, mapa e direções, formulário para nos contactar, horário de funcionamento, serviços, classificações, fotos, vídeos e anúncios de Trended today full HD, Nampula.

Wananchi wamefika visiwani Zanzibar tayari kwa mchezo wao wa Jumamosi ya Septemba 21 wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya...
19/09/2024

Wananchi wamefika visiwani Zanzibar tayari kwa mchezo wao wa Jumamosi ya Septemba 21 wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya CBE SA utakaopigwa katika dimba la New Amaan Complex.

Mtanange huo utakuwa LIVE saa 2:30 usiku

(Imeandikwa na )

Nguli Wa Muziki Ya Bongoflava Professor Jay Amekutana Na Alikiba Hii Ikiashiria Kuwa Kolabo Yao Iko Jikoni . Wiki Jana N...
19/09/2024

Nguli Wa Muziki Ya Bongoflava Professor Jay Amekutana Na Alikiba Hii Ikiashiria Kuwa Kolabo Yao Iko Jikoni . Wiki Jana Nilipata Nafasi Ya Kuongea Na Professor Jay Akaniambia Kuna Kazi Wanawachilia Yeye Na Alikiba Mwezi Huu....

Picha/ Kwa Hisani
MWANDISHI>>> Fazul Khalid

Manchester City imelazimishwa sare tasa nyumbani Etihad Stadium na Inter Milan katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya h...
19/09/2024

Manchester City imelazimishwa sare tasa nyumbani Etihad Stadium na Inter Milan katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya huku PSG ikiibuka na ushindi mwembamba dhidi ya Girona ya Uhispania.

Katika mchezo mwingine Borussia Dortmund imeishushia Club Brugge KV kipigo cha 3-0 huku Celtic ikiitandika Slovan Bratislava 5-1.

𝐅𝐔𝐋𝐋 𝐓𝐈𝐌𝐄:
🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Man City 0-0 Inter 🇮🇹
🏴󠁧󠁢󠁳󠁣󠁴󠁿 Celtic 5-1 Slovan Bratislava 🇸🇰
🇧🇪 Club Brugge 0-3 Dortmund 🇩🇪
🇫🇷 PSG 1-0 Girona 🇪🇸

Haya hebu niambiye  haho ulipo zinaitwaje hizi
19/09/2024

Haya hebu niambiye haho ulipo zinaitwaje hizi

TUKIACHA ushabiki pembeni,Aseeh huyu jamaa wa kumuita DEBORA FERNANDEZ 🙌🔥Ile Majuzi alinivuruga sana, maana Jamaa niliku...
19/09/2024

TUKIACHA ushabiki pembeni,
Aseeh huyu jamaa wa kumuita DEBORA FERNANDEZ 🙌🔥

Ile Majuzi alinivuruga sana, maana Jamaa nilikuwa namuona Akihudumu kwenye Safu ya Kiungo Mkabaji na Akipata Mpira anakuwa ni Box To Box Midfielder🤔

Yaani vile ambavyo alivyokuwa anarudi Kukaba Kumsaidia Mohamed Hussein Zimbwe, niliiona Pace yaani mikimbiao Ya Haraka sana kuja kumsaidia Beki huyo wa Kushoto,
Na ndiye aliyefanya Waarabu wapate Kaugumu Fulani Hivi Maana jamaa aliwatibulia sana Mipango yao

Huyu jama Anaubonda Kisawasawa Aseeh

ILA ASIFANANISHWE NA AUCHO🤣
MABUMUNDA TUELEWANE KWENYE HILI TUUU🙌

FUNDI sportsIShabani FUNDI sportstShabani FUNDI sportsbanifundisports

19/09/2024

Marekani yasema Iran ilituma taarifa za udukuzi kumhusu Trump kwa washirika wa Biden
https://bbc.in/3TXrJ6v

Wanansimba wameandaa Surprise  siku ya mchezo wa marudiano dhidi ya Al Ahly Tripoli pale Benjamin Mkapa  Kuelekea siku h...
19/09/2024

Wanansimba wameandaa Surprise siku ya mchezo wa marudiano dhidi ya Al Ahly Tripoli pale Benjamin Mkapa

Kuelekea siku hiyo mashabiki wamehaidi kuujaza uwanja wa mkapa huku wakishangilia ili kuwapa nguvu wachezaji . kinavhotakiwa kukamilishwa na kocha Fadlu Davis ni kutengeneza bomu ambalo likiwalipukia waarabu kipindi cha kwanza basi waumalize mchezo huo

" Kikosi lazima kipambane ili kuliheshimisha taifa . kwa sasa Tanzania imeonekana kuanza kuimarika , wachezaji wanapambana kuanzia kwenye vilabu hadi timu ya taifa hili lisiishie kwa Yanga tu . tunahitaji kuona Simba pia inatinga makundi kwenye michuano ya CAF Confederation Cup

Wacha tuone safari ya Simba atakavyo winda

12/09/2024

RAIS MWINYI AZINDUA RIPOTI YA JIOLOJIA.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameziagiza sekta zote zilizoguswa kwenye Ripoti ya Jiolojia na Utafiti wa Madini kuyafanyia kazi maeneo yao kwa kushirikiana na Wizara ya Maji, Nishati, na Madini ili ripoti hiyo ilete tija kwa taifa.

Alisema, matumizi sahihi ya ripoti hiyo yatachangia uwekezaji utakaozalisha ajira katika sekta husika, na sekta ya ardhi itaweza kuweka mpangilio mzuri wa matumizi ya ardhi, kilimo, ujenzi, na makazi, pia kuiwezesha nchi kujikinga mapema na maafa.

Rais Dk. Mwinyi ameyasema hayo katika ukumbi wa Golden Tulip, Kiembesamaki, Wilaya ya Mjini, Mkoa wa Mjini Magharibi alipozindua Ripoti ya Jiolojia na Utafiti wa Madini, Zanzibar.

Katika kufanikisha agizo hilo, Dk. Mwinyi amesisitiza kwa Wizara ya Maji, Nishati, na Madini kuzipatia haraka nakala ya ripoti hiyo taasisi zote zilizoguswa ili zianze kuifanyia kazi mapema iwezekanavyo

Alibainisha kuwa kupitia ripoti hiyo, nchi itakuwa na uwezo wa kujikinga na maafa kabla ya kutokea, hatua aliyoieleza itathibitisha dhana ya Jiolojia ya Zanzibar kuwa ni kichocheo cha uchumi wa nchi.

Amesema, uzinduzi wa ripoti hiyo utasaidia kuimarisha dhamira ya Serikali ya kuifanya Zanzibar kuwa kituo cha utalii kwani mapango yaliyogundulika kwenye ripoti hiyo yataweza kutumika k**a sehemu za vivutio vya utalii baada ya kuimarishwa.

Hata hivyo, Rais Dk. Mwinyi ameeleza kufarijika kwake na ushirikiano wa Wizara mbili za SMZ na SMT kutokana na kazi kubwa iliyofanywa na wataalamu wa ndani kushirikiana na wenzao wa Wizara ya Madini ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Taasisi ya Utafiti wa Miamba na Madini (GST) ya Dodoma kufanikisha utafiti na hatimaye kuandaa ripoti hiyo.

30/08/2024

Mambo vip

Endereço

Nampula

Telefone

+258852900631

Website

Notificações

Seja o primeiro a receber as novidades e deixe-nos enviar-lhe um email quando Trended today full HD publica notícias e promoções. O seu endereço de email não será utilizado para qualquer outro propósito, e pode cancelar a subscrição a qualquer momento.

Entre Em Contato Com O Negócio

Envie uma mensagem para Trended today full HD:

Compartilhar