Jmwakama Juma

Jmwakama Juma In Tz Jmwa song right

Dereva   Wa Tundu Lissu  Akimkabidhi Nguo  Mwenyekiti Wa Chadema  FREEMA MBOWE  Nguo za Tundu lissu Zikiwa zinavuja Damu...
07/09/2026

Dereva Wa Tundu Lissu Akimkabidhi Nguo Mwenyekiti Wa Chadema FREEMA MBOWE Nguo za Tundu lissu Zikiwa zinavuja Damu Ambayo alipigwa risasi Miaka 9 Iliyo pita Huko Kwake Dodoma Area C ...

Ilikuwa Majonzi na Simanzi Na Vilio 😢 Mh Tundu Lissu Kwa Wakati Ule alikuwa Mwanasheria Mkuu ..wa TLS ..

Ila Dada Muu anamambo Na kale kassuti ka Mafua 😂😂😂   Ilikuwa Promo watangaze  Vijuisi Vyao Kwenye Page Ya     Simba SC T...
07/09/2026

Ila Dada Muu anamambo Na kale kassuti ka Mafua 😂😂😂 Ilikuwa Promo watangaze Vijuisi Vyao Kwenye Page Ya Simba SC Tanzania au

Maana naskia Page Inapost Filamu na vijembe tu sikuizi Wapo Episod ya 10 Season 2 Duka La Mangi 😂😂😂

Kwa Uelewa Wangu Mdogo tu ....Kunawakati Wowote  Tutegemee Kuongozwa na Makamu raisi tena ..   kwanini Nasema hivi *.......
07/09/2026

Kwa Uelewa Wangu Mdogo tu ....

Kunawakati Wowote Tutegemee Kuongozwa na Makamu raisi tena .. kwanini Nasema hivi *..
.. kikawaida tu Mume akifariki Mwanamke Huwa kunakitu Kinapungua Hali ya upweke Wakumkosa mtu ambaye walikuwa naye kwamudamrefu na pia Kwa mwili wa Raisi Sizani k**a anakosa Magonjwa K**a hayaa yalio muuwa mumewe So naona kabisa ...

Mama ataanza Kudhoofika na asipokuwa makini Nayeye hana muda mrefu Atamfuata tu Kwasababu Cheo Cha Uraisi Watu wengi sanaa wanampinga na wanamkosoa Ukijumlisha na Maradhi yake then Jumlisha Tatizo la kufiwa na mume 🤔

Sioni Umri mrefu kwake kwakweli Huu ni utafiti wangu Nilio wahi kuuona kwabaadhi ya Watu wa ainahiyo 🙏

DEPU    Aipa ushindi     Ugenini Dhidi ya   ya Miquison ...
06/09/2026

DEPU Aipa ushindi Ugenini Dhidi ya ya Miquison ...

Safari ya kurudi nyumbani imeanza✈️
06/09/2026

Safari ya kurudi nyumbani imeanza✈️


Mbona Simba SC Tanzania  wameanza Bila Ya Streka Halisia kwanini..?
06/09/2026

Mbona Simba SC Tanzania wameanza Bila Ya Streka Halisia kwanini..?

Niwa Hakikishie Tu Yakuwa   Huu Uwanja Ni mzuri tu Kwamuda ....   Inaweza Isiishe  mkaona Mabadiliko makubwa Ya kiufundi...
06/09/2026

Niwa Hakikishie Tu Yakuwa Huu Uwanja Ni mzuri tu Kwamuda ....

Inaweza Isiishe mkaona Mabadiliko makubwa Ya kiufundi kwenye Hizi taa 😅😅

Au K**a Afcon Itaisha basi Nawahakikishia Baada ya mwezi mmoja Afcon kuisha Hizitaa hamtoziona tena 😅

Karibu Tanzania Nchi inayoongozwa na Ma Muhemuko wamtu Badala ya Sheria na kanuni .. Nchi ambayo Mtu akilala usiku asbuhi akiamka anawaza afanye kipi ili Maisha yaende...

Nchi ambayo Chawa anaijua Sheria na kupewa jina la kuliko hata Huyo aliyo somea huo U 😂😂

ANAANDIKA MSANII ROMA MKATOLIKI Wizara ya mambo ya ndani  ina~deal na petty issues….badala ya ku~deal na vitu serious.Wa...
06/09/2026

ANAANDIKA MSANII ROMA MKATOLIKI

Wizara ya mambo ya ndani ina~deal na petty issues….badala ya ku~deal na vitu serious.

Waziri una deal na mashalove & Pipitilda
badala ya kulinda mipakani huko zinaingia pombe feki daily zinaenda kuua figo za maelfu ya mahomeboys na dada zetu, ajira zenyewe hamuwapi vijana wanashindwa kumudu dialysis gharama wanapoteza maisha!

Halafu hapo utasema wizara inalinda raia na mali zake!!?🤷‍♂️

Unazungumzia maadili ya kuongea lugha chafu mitandaoni, USA 🇺🇸 Rais Trump anatukanwa na raia ile F****word tena public kabisa kwenye press na raia haguswi na ndio nchi ina mahospital bora,shule na vyuo bora, umeme & maji havikatiki,barabara safi, na ajira za kutosha!!

Wewe maadili yamekusaidia nini mtu nina bachelor ya Architecture GPA 3.5 na naendesha boda tena ya mkataba mwaka wa nne huu kazi hamna, kwa siku naingiza elfu saba, utasema kuna maisha hapo?

Wewe unaekazania maadili una population ya watu milioni 70, unatangaza ajira elfu 45!!
Sasa kuna taifa hapo?

Simaanishi k**a taifa tusiwe na maadili au utamaduni, lakini ni petty issues….. kundi la wale mates wangu walipaswa kuitwa hata basata tu wak**alizana nao chaap kwa, k**a wazazi/walezi……easy tu, lakini sio waziri wa wizara!!

K**a tunataka kukemea maadili, tukemee maadili ya utekaji na ufisadi na mauaji ya ndugu zetu, hayo ndio maadili ya msingi na uwaite wahusika uwakemee live tuone k**a tulivyoona kwa wale wasanii!!

Unaacha kuwaita askari walioua ndugu zetu october 29 uwakemee na kuwawajibisha, unamuita yule sista du anayeuza jeans, unamuita Nicole….kisa anaonyesha kifua!!?

Nini kifua babu, nchi za wenzetu unakuta striper anacheza uchi kabisa usiku club na mchana ni daktari / nurse anatibu watu na ndio ajira yake na analipa kodi na hela anayotengeneza humgusi….na ana degree kasoma na husikii kaitwa na waziri wala Mkuu wa mkoa! Dunia ndio ipo huko!!

CAG kila mwaka anasoma report wizi wa Billions of bags 💰 na huoni mtu akiwajibishwa…..sasa hayo ndio maadili ya kukemea public tena, sio mtuambie tunamalizana kwenye vikao vya k**ati sijui za halmashauri…NO!!

Watu wanatekwa kiholela, wanapotea wanakufa….kila kiongozi anayehojiwa anakataa kuwa hakuna utekaji….husikii hata mmoja akikemea…..then leo wizara ya mambo ya ndani head liner unakaa kikao na GiGi money, Anko T unawakemea na mnalazimisha kabisa iwe news kubwa!!

Yani hukemei mtu anaua watu, unakuja unamkemea gigi kavaa mpasuo!?

Hivi tuna taifa kweli hapa jamani!?

Hii nchi ina maigizo sana!!

- Ameandika Roma Mkatoliki.

Mnalalamika Toka Jana Hamna magoli   Haya Vaa njumu Ukafunge wewee 😂
06/09/2026

Mnalalamika Toka Jana Hamna magoli Haya Vaa njumu Ukafunge wewee 😂

Dakika Alizo chukuliwa  Selemani Simba SC Tanzania    Ndio hizohizo Dakika Alizofunga  Dhidi Ya Gaborone 😅😅😅😅Hii inauma ...
06/09/2026

Dakika Alizo chukuliwa Selemani Simba SC Tanzania Ndio hizohizo Dakika Alizofunga Dhidi Ya Gaborone 😅😅😅😅

Hii inauma Sanaa sema tu Nyie mashabiki wa Yanga hamjui Sisi Makolo tunayo pitia 🤣

Address

Arusha, & Da Es Salaam
Arusha
𝐉𝐮𝐦𝐚𝐈𝐝𝐝𝐢

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Jmwakama Juma posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Jmwakama Juma:

Shortcuts

Share