08/08/2026
Asanteni ARUSHA kwa kutembelea banda letu Nanenane! 🙏🏾☀️
Tunawashukuru kwa kuendelea kutuamini na kutupa nafasi ya kuwa sehemu ya kubadilisha maisha yako✨
d.light Tanzania tupo tayari kuwahudumia nchi nzima!