Jiboreshe na SJN

Jiboreshe na SJN Ushauri wa Biashara || Business Consultancy

WHATSAPP BROADCASTS 📌🚩Hivi unatunza namba za simu za wateja wako? 🚩Huwa unawaandikia meseji za kuwajulia hali zao na fam...
16/03/2021

WHATSAPP BROADCASTS 📌

🚩Hivi unatunza namba za simu za wateja wako?
🚩Huwa unawaandikia meseji za kuwajulia hali zao na familia zao, biashara au kazi zao? Au wewe ukituma msg ni kutaka kuwauzia tu biashara yako😄.

🚩Unajua namna ya kutumia huduma ya WhatsApp Broadcasts ?

🚩Huduma hii inakusaidia kutuma msg k**a group lakini inamfikia mlengwa k**a msg yake binafsi na kumfanya ajisikie unamjali yeye binafsi na sio k**a kundi (group).

🚩Unaweza kuwa na hizi Broadcasts zaidi ya moja kulingana na aina ya wateja ulionao au aina ya huduma au bidhaa unazotoa.

🚩Namnanya kutengeneza nia kaam unavyotengeneza group la WhatsApp. Lakini ukituma msg inaenda INBOX na sio k**a Group.

🚩Itumie hii huduma ili kubiresha mahusiano yako na wateja wako wa sasa na wale unaowatarajia📌

Nakufungua jicho la fursa😊👌🏽

06/12/2020

Mpendwa MJASIRIAMALI,
Wewe ni BRAND📌
Umebeba sura/ picha ya biashara yako, muonekano wako unatakiwa kuwakilisha vile biashara yako inatakiwa kuonekana.
Hivyo basi

02/12/2020

Wajasiriamali na waajiriwa wote ni wafanyakazi 📌
:SJN

FUNGA MWAKA KIJANJA‼ na kozi ya SIKU - 14 za kuwa na BUSINESS PLAN yako mkononi, ili mwakani wabaki wanakushangaa…Kozi h...
03/10/2020

FUNGA MWAKA KIJANJA‼
na kozi ya

SIKU - 14 za kuwa na BUSINESS PLAN yako mkononi, ili mwakani wabaki wanakushangaa…

Kozi hii itakusaidia
🔑Kugundua makosa ya kibiashara ùliyofanya siku za nyuma.
🔑Kurekebisha makosa
🔑 Kujua mambo sahihi ya kufanya ili kuboresha bishara yako
🔑Hata k**a una wazo la bishara na hujui uanzie wapi, itakusaidia kujua pa kuanzia.
🔑Kama unaogopa kuanza biashara, itakusaidia kukupa UJASIRI wa kuanza.

Bei halisi ni *~TZS 197,000~* kwa sasa unapata kwa *TZS 47,000/- tu*

Unapata na BONUS KIBAO…
1. Masomo ya ugunduzi wa FURSA na MASOKO
2. Masomo ya kukuongezea CONFIDENCE k**a mjasiriamali na mfanya biashara

3. Templates za kukusaidia kutunza kumbukumbu za fedha za;
》Daily cash flow template
》Weekly cash flow template
》Monthly cash flow template
》Quarterly cash flow template
》months cash flow template
》Annual cash flow template
4. Marketing strategy planner
5. Social media marketing planner
6. Social media marketing tracking.

NB: Haya yote yameandaliwa kwa *KISWAHILI*

SIJUI NIFANYE BIASHARA GANI...?🤔Angalia1. Unapenda nini (Passion yako)2. Taaluma yako igeuze bishara (profession yako)3....
01/10/2020

SIJUI NIFANYE BIASHARA GANI...?🤔

Angalia
1. Unapenda nini (Passion yako)
2. Taaluma yako igeuze bishara (profession yako)
3. Kipaji / Vipaji vyako ni mtaji wako
4. Hobi zako zikague vizuri, zinauza😊
5. Tatua matatizo ya watu

Mambo yote haya ni mtaji wa wako wa kuingizia pesa. Anza kuyafuatilia na kuyatafakari. Utapata majibu.

Ni MISINGI mizuri na IMARA sana, kujengea biashara juu yake. Itadumu muda mrefu, hata kuweza kurithisha vizazi vyako📌👌🏽

"Akaita watu kumi katika watumwa wake, akawapa mafungu kumi ya fedha, akawaambia, Fanyeni biashara hata nitakapokuja."
LK. 19:13 SUV


21/06/2020

Hivi unawatambua wateja wanaochangia 80% ya mapato ya biashara yako?
Wako wangapi?
Unawapa huduma maalumu ya kuwafanya wasiondoke?

KUWA MJANJA, ‼️📌PATA JICHO LA KUONA FURSA ZA BIASHARA Tuma neno FURSA kwa WhatsApp https://wa.me/255762455075AuWeka namb...
19/06/2020

KUWA MJANJA, ‼️📌
PATA JICHO LA KUONA FURSA ZA BIASHARA
Tuma neno FURSA kwa WhatsApp
https://wa.me/255762455075

Au

Weka namba yako ya WhatsApp kwenye comment, utumiwe masomo,, BUREEEEE! Kabisa👌🏽

OFA HII INAISHA TAR 31/08/2020📌

FACEBOOK NI ZAIDI YA UIJUAVYO 📌‼Badili mtazamo ulionao kuhusu Facebook ‼️📌Karibu katika mafunzo ya namna ya kutumia Face...
11/05/2020

FACEBOOK NI ZAIDI YA UIJUAVYO 📌‼

Badili mtazamo ulionao kuhusu Facebook ‼️📌

Karibu katika mafunzo ya namna ya kutumia Facebook kukuza biashara yako.

Facebook imebeba Instagram, Messenger na WhatsApp Business.

WhatsApp
https://wa.me/255762455075

Address

Arusha

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Jiboreshe na SJN posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share