24/01/2023
CHANZO CHA MAUMIVU YA KIUNO NA TIBA YAKE
Call
0762024713
✍🏻Maumivu ya kiuno yamekuwa ni tatizo la kawaida na siyo kwa watu wenye umri mkubwa, bali hata kwa vijana.
Hali hii imewa tishio kubwa na mara nyingine kutofahamika Chanzo ni nini.
✍🏻Leo tutaona baadhi ya sababu na vyanzo vikuu vya tatizo hilo;
1️⃣MAUMIVU YA MGONGO
✍🏻Katika maisha ya binadamu mara moja moja hukutana na huu ugonjwa wa kuumwa na kiuno hutegemeana na ukubwa wa tatizo kuna unao weza kuuma kwa mda na mwingine kuumwa kabisa na kua ni ugonjwa wake kias cha kushindwa kutembea sababu ni nyingi kutegemeana na chanzo cha tatizo.
2️⃣KUNYANYUA VITU VIZITO
✍🏻Mara nyingi watu haswa wakina mama wanakua ni wahanga wa huu ugonjwa wa mgongo bila kujua tatizo hulisababisha kwa kunyanyua vitu vizito mfano ndoo huku akiwa ameinama na kusababisha misuli ya kiuno kuvuta
3️⃣MISULI KUUMA
✍🏻Hutegemeana na sababu ila mfano wa hapo juu unapo nyanyua vitu vizito vibaya mfano ndoo kubwa ya maji ukiwa wima una pelekea maumivu ya pingili za uti wa mgongo kwa sababu hiyo misuli ya mgongo hujiminya na kua midogo kulinda uti wa mgongo na unapata maumivu makali.
4️⃣PINGILI ZA UTI WA MGONGO
✍🏻Katika uti wa mgongo kuna pingili 33 na kila moja ikifanya kazi yake sasa katika hizo pingili zipo k**a donati na huwa zinazungukwa na mafuta pindi inapo jisugua kwa kukosa mafuta husababisha maumivu kushuka mpaka miguuni kwa maumivu
5️⃣MKAO MBAYA NA MUONDOKO
✍🏻Mara nying watu wenye kusimama mda mrefu hua ni wenye kupata na tatizo la pressure tofaut na pressure pia swala la mgongo kuwa uma ni swala ambalo lipo kwao sana kwa sababu ya mkandamizo wa mkao mbaya wa kusimama kwa mda mrefu pia watu wenye kushinda kwenye kuendesha magar pia wale wenye kukaa vibaya kwenye computer kwa mda mrefu
✍🏻Kuondoka ghafla kwa kishindo husababisha k**a nilivyo sema mvutiko wa misuli ya kiuno na kupelekea maumivu makali.
6️⃣MAGONJWA K**A JIWE KATIKA FIGO, UTI NA ARTHRITIS
✍🏻Moja ya sababu nyingine ni kua na jiwe kwenye njia ya figo inapelekea mtu kuumwa na kiuno pia magonjwa ya njia ya mkojo husababisha kiuno kuuma mfano wake ni k**a UTI hupelekea maumivu makali sana ya kiuno.
✍🏻Pia kuna ugonjwa ambao ni haru yabis huu husambulia mifupa na kupelelkea maumivu ya mifupa na pia maumivu ya kiuno.
7️⃣Pia kuna mama kua mjamzito
8️⃣Mwanaume kuwa na kitambi na vingine maana nakumbuka ukiwa kijana ukiskika una umwa mgongo unaambiwa oa bhana uondokane na tatizo hilo.
9️⃣Mwanamke kuwa na Tatizo la PID au Homon Imbalance au Mjamzito husababisha au huchangia kupata maumivu ya kiuno na mgongo.
TIBA YA MAUMIVU YA MGONGO NA KIUNO
✍🏻K**a tatizo linasababishwa na Arthritis, mikao, miondoko, pingili, misuli, kunyanyua vitu vizito utatumia tiba zetu na utapona kabisa.
✍🏻K**a matatizo ya hedhi, PID, Homon Imbalance, ujauzito atatumia tiba zetu na utapona. Na k**a ni mtoto wa chini ya miaka 18 anatumia tiba zetu na utapona
Kwa ushauri kiafya na Tiba piga/cm ya mkononi whatsapp 0762024713