08/10/2025
Nashindwa Amini au kuelewa ni kweli watu wote walio potea katika hali tatanishi na wengine kukutwa wamekufa. Kweli watekaji Wana ujuzi mkubwa kuliko police wetu? Maana asilimia kubwa tunaambiwa huyu katekwa huyu kapigwa risasi makazi ya bunge, huyu katekwa kakutwa na wasamaria wema kafa. Lakini police wetu hawajawahi tutangazia Hawa wote walio potea, kuumiza na kuuwawa wamewapata watekaji au hapana. Story ikipoa na police hawasemi chochote Tena zaidi ya tunafatilia. Mamlaka mkishindwa sema inatosha wananchi watasema inatosha.