02/02/2026
*Hello Team, Nahtaji Team ya Kufanya nayo kazi kwa kugawana majukumu k**a ifuatavyo.*
*1.Usajili wa laini za simu ,Airtel.
2.Airtel lipa kwa simu,
3.AIRTEL CHAPA KAZI INTERNET*
*FAIDA YA USAJILI KWA WAKALA * MALIPO MAZURI YA KILA SIKU NA KILA MWEZI,HUDUMA NZURI* *FAIDA KWA MTEJA NI KUPATA HUDUMA .MSHAHARA KWANGU NI MZURI ,
*FAIDA YA LIPA KWA SMU KWA MTEJA*
*-Pokea simu kutoka mitandao yote*
*-Toa pesa bure*
*-Gawio la faida*
*FAIDA YA LIPA KWA SIMU KWA WAKALA*
*-Malipo mazuri ya siku ,wiki, Mwezi*
*HUDUMA YA CHAPA KAZI INTERNET* CHAPA KAZI INTERNET NI HUDUMA INAYOMPA MTEJA FURSA YA KUA NA MAWASILIANO KWA GHRAMA NAFUU NA BILA USUMBUFU. *FAIDA YA CHAPA KAZI INTERNET. *(i) KWA MTEJA*
*-MTEJA ANAPATA DIVICE YA 5G BURE KUTOKA AIRTEL KWA KULIPIA SH.100,000 TU KILA MWEZI* *-ATAPATIWA 10GB KATIKA LAINI ZAKE 2 ZA AIRTEL*
*-ATAPATA DK 1000 NA SMS 1000 KATIKA LAINI 2 ZA AIRTEL* *-ATAPATA HUDUMA YA LIPA KWA SIMU BURE*
*(ii) FAIDA KWA WAKALA*
*-BONUS NZURI NA MALIPO MAZURI YA KILA WIKI NA KILA MWEZI*
K**A UKO TAYARI AU UNA MTU ANAHTAJI KAZI MLETE KWANGU AJIUNGE NA TEAM YA MAUZO KWA MANUFAA ZAIDI . *NITAFUTE INBOX AU KWA MAW ASILIANO YA KAWAIDA 0742484348, 0623988413 ,0683352535*
Ahsante kwa kutuchagua . *Tuandikie kupitia Baruapepe : [email protected]*