30/07/2026
Umeme wa uhakika, hata katikati ya mbuga🌿⚡
Tumefanikisha usakinishaji wa ZOLA EDGE 25kVA | 50kWh katika moja ya kambiza watalii zilizopo ndani kabisa ya Serengeti, tukihakikisha wageni wanafurahia huduma za kiwango cha juu kwa umeme safi na wa kuaminika.
📍 Popote biashara yako ilipo, ZOLA EDGE inafikisha uhakika wa umeme.