19/03/2021
'Na mimi najua mtanikumbuka kwa mazuri sio kwa mabaya. Kwasababu nime sacrifice maisha yangu kwa ajili ya watanzania maskini, kwahivyo tusimame pamoja, tusibaguane kwa vyama, tusibaguane kwa ajili ya dini zetu, tusibaguane hata kwa kabila zetu. Sisi tuijenge Tanzania. ' - hayati, JP Magufuli.