Dream Runners Academy

Dream Runners Academy Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Dream Runners Academy, Consulting Agency, Arusha.

To assist entrepreneurs to realize their dreams and achieves their goals
-We train entrepreneurship skills
-talk show concerning business success
-inspirational talk with different business men in Tanzania
-Issuing of entrepreneurship magazine

Take it from me
26/06/2018

Take it from me

For you
14/04/2018

For you

05/04/2018

Ipende kazi yako maana ndio ikupayo kipato

18/07/2017

unaijua ndoto ya mwanao au mdogo wako?

keep in touch with our page soon utaelewa

26/09/2016

Amini maisha yanategemea unavyoitumia akili yako kila siku usitumie nguvu tu maana wewe sio mnyama tumia vyote akili na nguvu....

27/07/2016

Tupo katika dunia ambayo watu wameanza kujitambua au kijifahamu hivyo wanatumia muda mwingi na fedha nyingi katika kutafuta na kijenge mikakati imara itakayo waimairisha katika vile vizuri walivyonavyo huku wakiendelea kuboresha sehemu zilizo namapungufu lengo kuu likiwa ni Kujiongezea thamani hatimaye wapate nguvu ya fikri zao kutawala au nguvu ya kufanikisha kile wanacho kiamini.

Kwasababu hii si rahisi sana kuona mtu anatumia muda wake kukuambia ukweli juu ya uwezo wako zaidi anatamani fikra zake ziutawale uwezo wako.

Hivyo jipange anza safari badala ya kupoteza muda kujua watu wengine, Wekeza zaidi katika kujijua Wewe binafsi.

Ukweli ni huu kila aliyefanikiwa ni matokeo ya ufahamu Mzuri juu yeye binafsi, Anaujua vizuri uwezo alionao, Madhaifu yake jambo lililo msaidia kufanya maamuzi sahihi yaliteka uwezo wa watu sahihi kwa wakati sahihi.

Ujenzi mwema wa Ngome yako.

Tupo  katika dunia ambayo watu wameanza kujitambua au kijifahamu hivyo wanatumia muda mwingi  na fedha nyingi  katika ku...
27/07/2016

Tupo katika dunia ambayo watu wameanza kujitambua au kijifahamu hivyo wanatumia muda mwingi na fedha nyingi katika kutafuta na kijenge mikakati imara itakayo waimairisha katika vile vizuri walivyonavyo huku wakiendelea kuboresha sehemu zilizo namapungufu lengo kuu likiwa ni Kujiongezea thamani hatimaye wapate nguvu ya fikri zao kutawala au nguvu ya kufanikisha kile wanacho kiamini.

Kwasababu hii si rahisi sana kuona mtu anatumia muda wake kukuambia ukweli juu ya uwezo wako zaidi anatamani fikra zake ziutawale uwezo wako.

Hivyo jipange anza safari badala ya kupoteza muda kujua watu wengine, Wekeza zaidi katika kujijua Wewe binafsi.

Ukweli ni huu kila aliyefanikiwa ni matokeo ya ufahamu Mzuri juu yeye binafsi, Anaujua vizuri uwezo alionao, Madhaifu yake jambo lililo msaidia kufanya maamuzi sahihi yaliteka uwezo wa watu sahihi kwa wakati sahihi.

Ujenzi mwema wa Ngome yako.

29/10/2015

"Many of life's failures are people who did not realise how close they were to success when they gave up." – Thomas Edison
Lets Keep Moving Guys.

28/10/2015

"It is our ability to put to use that which Almighty God He deposited in us that matters, we are all blessed with different abilities. There is something in all of us that is useful to humanity." Our Success is within those We spent our time to solve their problem.

25/10/2015

Haiitaji mawazo ya ajabu kutoka hapo ulipo zaidi ya kujiuliza una nini unamiliki, Tumejengwa katika dhana ya kuamini kwamba hatukuzaliwa na kitu jambo ambalo si kweli.
Wengi wetu tulizaliwa na kila kitu kinachoweza utufanya tupige hatua ni jambo la kujitazama wenyewe katika jicho la rasilimali nakuvilazimisha vile tulivyonavyo kufanyika nyenzo ya kutupigisha hatua kabla hatuaanza kutazama au kuperuzi mtanzandaoni kutafuta kazi K**a unahisi miguu yako ni ya kupuyanga basi Wenzio wanaitumia kutengeneza fedha na k**a unahisi mikono yako ni ya kuoshea vyombo wenzio tunananua picha kwa gharama picha zilizochorwa na watu walioamua kuongeza thamani katika mikono yao na leo inawalipa sana, Hope unajua kuna sura zikitokea kwenye majarida zinalipwa fedha nyingi, Wengine ajira zao zipo katika sauti zao wanapiga hela hapa mjini na wewe ni mmoja wao unaye wapelekea pesa yako kwakua umependa kile wanachokifanya.
Ni rahisi sana tafuta ulicho nacho vunja mshipa wa aibu anza na kile watu walichokuwa wanakusifia utotoni K**a Uliambiwa unajua kuimba anza very serious K**a uliambiwa unajua kupika brother angu na Dada angu Tafadhari ingia jikoni angalia namna jiko lako zinavyoweza kukupa pesa anza haraka in Very Serious and Aggressive kabla gesi haijaisha,
K**a uliambiwa unajua kuchora anza Serious and Aggressive k**a ulipost sura yako then ukapata like za kutosha unasifiwa ur Handsome or Beautful don't channel ur mind on being approached NO but find the way it can be money anza kujiediti kwenye templates za magazine cover in Very Serious and Aggressive,
Usiangalie mtu K**a Ukituma ujumbe au mawazo kwenye social media then likes nyingi for real ur public speaker tuma tena Kesho na Kesho kutwa last find how it can be money anza Very Serious and Aggressive.
Ukweli Haukuzaliwa bila kitu Nakataa Bali Ulizaliwa na kila kitu isipokuwa tunatofautia ujasiri na umakini katika kujitumia au kuvuna rasilimali zilizopo ndani yetu You must have Effective Utilization of Yourself and That Is What Define Your Presence In this World.
“To be a great champion you must believe you are the best. If you’re not, pretend you are.” –Muhammad Ali

Asante

30/09/2015

Tambua wajibu wako k**a kijana fikra pevu huja kwa kutafakari na kujihoji kisha chukua hatua fanya maamuz sahihi siku zote...

06/08/2015

One Decision may result into million of impacts so Decide by your own not by influence of others....

Address

Arusha

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dream Runners Academy posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share