29/12/2025
Ukiwa k**a mteja unayehitaji malazi kwenye bnb jitahidi kufahamu hizi tips zitakusaidia
š Idadi ya Vyumba
āāKulingana na idadi ya watu mliopo
āāaina ya vyumba mfano: master bedroom/ensuite room ziwe ngapi
š Location
-Fahamu unahitaji iwe karibu na maeneo gani au mtaa gani ili ufurahie zaidi au iwe rahisi kwako kikazi /matembezi
š Tarehe
-Fahamu au eleza kwa host unahitaji kucheck in tarehe ngapi na utatoka tarehe ngapi hii itamsaidia host
-Na ikiwa tayari umecheck in kwenye bnb na ukahitaji kuongeza siku za kukaa mjulishe host siku moja/mbili kabla ili asipokee booking nyingine na wewe ikuondolee usumbufu
š Uliza maswali
-ikiwa una maswali muulize host kabla ya kukamilisha booking yako
-usi assume tu vitu flani vitakuwepo wakati hujauliza au hujaona kwenye picha au video
-Hakikisha umeuliza na umepata majibu ya maswali yako na umeridhika ndipo ufanye booking
-uliza ikiwa kuna policy yoyote ya after booking (cancellation/refund)