Mysol Tanzania

Call Directions Website Contact the business

Mysol Tanzania Kampuni ya Sola inayotoa sola bora na nafuu kwa ajili ya matumizi ya nyumbani na ya biashara.

Panel| Battery| Taa | Radio| TV| Pampu za umwagiliaji| Inveta| 0800755000 au 0800 788 181 MySol Tanzania ni Kampuni ya Sola ya Ufaransa inayotoa sola bora na nafuu kwa ajili ya matumizi ya nyumbani na ya biashara. Panel| Battery| Taa | Radio| TV 0800755000 www.mobisol.co.tz

Unajipatia sola nzuri na bora kabisa ambapo unaweza kulipa taratibu mpaka kwa miaka miwili. Kwa sasa MySolinatoa huduma katika Mikoa yote ya Tanzania isipokuwa Kigoma na Zanzibar

🇹🇿 Miaka 26 ya kumuenzi Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.Tunadumisha urithi wa hekima, uongozi na uzalend...
14/10/2026

🇹🇿 Miaka 26 ya kumuenzi Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Tunadumisha urithi wa hekima, uongozi na uzalendo aliotuachia. Maono yake ya umoja, amani na maendeleo ya taifa letu yaendelee kuwa mwongozo kwa vizazi vya sasa na vijavyo.

Hekima yake iendelee kuishi, kizazi hadi kizazi.

Miaka 26 ya kumuenzi Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.Tunadumisha urithi wa hekima, uongozi na uzalendo a...
14/10/2026

Miaka 26 ya kumuenzi Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Tunadumisha urithi wa hekima, uongozi na uzalendo aliotuachia. Maono yake ya umoja, amani na maendeleo ya taifa letu yaendelee kuwa mwongozo kwa vizazi vya sasa na vijavyo.

Hekima yake iendelee kuishi, kizazi hadi kizazi.

Tulirudi miaka ya 90 kwa staili, tukafunga Wiki ya Huduma kwa Wateja kwa kishindo! 📻Furaha, tabasamu na mshikamano; tuki...
13/10/2026

Tulirudi miaka ya 90 kwa staili, tukafunga Wiki ya Huduma kwa Wateja kwa kishindo! 📻
Furaha, tabasamu na mshikamano; tukisherehekea timu inayojituma kukuhudumia kila siku.
Kwako mteja wetu, asante kwa kuichagua MySol! Wiki imeisha, lakini wewe unabaki kuwa kipaumbele chetu.
MySol — Sola Bora, Maisha Bora.

12/10/2026

Unakaaje giza na kukosa mechi za Ligi wakati Mysol tupo!

Mysol tunakuangazia na Mtambo wa Mysol Neo.
Mysol Tunakupa burudani na mtambo wa Mysol Teevo.
Tupigie Bure 0800755000 au 0800788181
sola

11/10/2026

💜 Kila mmoja ana kitu chake kimoja kinachompa nguvu ya kuendelea kusonga mbele kazini!

Kwa wengine ni ndoto zao, familia au shauku ya kufanya zaidi. Na kwako je, ni kitu gani KIMOJA kinachokupa nguvu ya kuendelea?

09/10/2026

MTEJA KWANZA! Sisi Mysol wiki ya huduma kwa wateja tunazima zote, Tunawasha moja tu !MTEJA KWANZA!

Happy Customer Service Week 2026!

09/10/2026
09/10/2026

Heri ya wiki ya huduma kwa wateja!
Bado tunasherekea kwa pamoja!
Mysol kumenoga!

Tunajivunia utamaduni wetu, tunaadhimisha utofauti wetu na tunaweka wateja wetu mbele kila siku! 💜🤝
09/10/2026

Tunajivunia utamaduni wetu, tunaadhimisha utofauti wetu na tunaweka wateja wetu mbele kila siku! 💜🤝

Katika kuadhimisha Wiki ya Huduma kwa Wateja, MySol tumeenda   kwa kutembelea Kituo cha Afya cha Moivaro na kuunga mkono...
08/10/2026

Katika kuadhimisha Wiki ya Huduma kwa Wateja, MySol tumeenda kwa kutembelea Kituo cha Afya cha Moivaro na kuunga mkono juhudi za kuboresha huduma za afya kwa mama na mtoto.

Kwa sababu huduma bora si kile tunachofanya tu bali ni hatua ya ziada tunayochukua kwa jamii.

Address

PLOT TASO/G/448, Nane Nane Grounds, Njiro
Arusha
P.OBOX13954

Opening Hours

Monday 07:00 - 22:00
Tuesday 07:00 - 22:00
Wednesday 07:00 - 22:00
Thursday 07:00 - 22:00
Friday 07:00 - 22:00
Saturday 07:00 - 22:00
Sunday 07:00 - 22:00

Telephone

+255800755000

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mysol Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Mysol Tanzania:

Shortcuts

Share