Elimu ya ujasiriamali

Elimu ya ujasiriamali Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Elimu ya ujasiriamali, Business service, USA liver, Arusha.

Ahsanteni kwa wote mnao like page yangu please toeni na maoni ili niboreshe ikiw Kuna weakness
21/05/2020

Ahsanteni kwa wote mnao like page yangu please toeni na maoni ili niboreshe ikiw Kuna weakness

I love you so much be blessed my friend's
26/03/2020

I love you so much be blessed my friend's

Almighty Yahuwah is great we bow down to warship Amen
17/02/2020

Almighty Yahuwah is great we bow down to warship Amen

Hapa wanna wiki 2
02/08/2019

Hapa wanna wiki 2

Hapa Sasa wanna wiki ya pili  unaweza kuwa uza 4500 Kila mmoja au unaweza kuendelea kuwatunza mpaka wafikie kutaga
02/08/2019

Hapa Sasa wanna wiki ya pili unaweza kuwa uza 4500 Kila mmoja au unaweza kuendelea kuwatunza mpaka wafikie kutaga

Ufugaji wa kuku unalipa Ni Bora kufanya kazi hi ya ufugaji hapa unaona kuku Hawa wana siku tatu
02/08/2019

Ufugaji wa kuku unalipa Ni Bora kufanya kazi hi ya ufugaji hapa unaona kuku Hawa wana siku tatu

Unaweza jifunza shughuli ndogondogo ambazo unaweza kufanya nyumbani muda wa ziada mfano kushona vikapu ,waleti,mikoba ku...
13/07/2019

Unaweza jifunza shughuli ndogondogo ambazo unaweza kufanya nyumbani muda wa ziada mfano kushona vikapu ,waleti,mikoba kulima bustani ngogo ndogo karibuni wajasiriamali

08/07/2019

Your welcome all of you to join my page write an interprenueship lesson

Je unawezaje kusave hela yako unayo pata kwa siku? Ni rahisi fuatilia njia 10 zifuatazo:.                  1 Tengeneza b...
11/03/2019

Je unawezaje kusave hela yako unayo pata kwa siku? Ni rahisi fuatilia njia 10 zifuatazo:. 1 Tengeneza bajeti ya nyumba na uifuate. 2. Kata matumiz yasiyokuwa ya lazima. 3.Nunua vitu kwa jumla badala ya rejareja 4.Usitumie usafiri binafsi kwa safari zisizokuwa za lazma mf gari 6.Baadhi ya vitu azima badala ya kununua 6.Kopa mikopo yenye riba nafuu na urudishe haraka 7.Punguza kula chakula nje ya nyumbani mf hotel. 8.Baadhi ya kazi fanya mwenyewe badala ya kuajiri. 9.Punguza kutoa hela benk marakwa Mara kwa kutumia ATM. 10.Punguza matumizi ya pombe

11/03/2019

NAMNA YA KUPUNGUZA MATUMIZI

Address

USA Liver
Arusha

Telephone

+255745028114

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Elimu ya ujasiriamali posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share