G.STOP & SHOP

G.STOP & SHOP The one stop Mini Supermarket in Arusha. For various products, visit us today.

Watu ni k**a udongo wanaweza kukurutubisha na kukusaidia ukue na kuwa bora.Na watu hao hao wanaweza kudumaza kukua kwako...
27/12/2018

Watu ni k**a udongo wanaweza kukurutubisha na kukusaidia ukue na kuwa bora.Na watu hao hao wanaweza kudumaza kukua kwako usikue au ufe kabisa.
Dina Marios........

Let the weak say " I'm strong " Joel 3:10, Let the Sick say " By His Stripes I'm healed"  Isaiah 53:5“Hata aliye dhaifu ...
24/12/2018

Let the weak say " I'm strong " Joel 3:10,
Let the Sick say " By His Stripes I'm healed" Isaiah 53:5

“Hata aliye dhaifu na aseme: ‘Mimi pia ni shujaa’.”
‭‭Yoeli‬ ‭3:10‬b BHN‬‬
Na walio wagonjwa waseme "kwa kupigwa kwake sisi tumepona.”
‭‭Isaya‬ ‭53:5‬ ‭BHN‬‬

21/12/2018

May joy and peace be with you this holiday season

K**a Utakuwa Unasubiri uone Mwenye BIDII akifeli,Kimsingi utakuwa huna tofauti na mtu anaye subiri kuiona miguu ya nyoka...
21/12/2018

K**a Utakuwa Unasubiri uone Mwenye BIDII akifeli,Kimsingi utakuwa huna tofauti na mtu anaye subiri kuiona miguu ya nyoka.

Umekuwa na siku ngumu leo??Weka mkono wako kwenye kifua chako yalipo mapigo ya moyo wako.Bado unadunda??means bado upo h...
21/12/2018

Umekuwa na siku ngumu leo??Weka mkono wako kwenye kifua chako yalipo mapigo ya moyo wako.Bado unadunda??means bado upo hai sio?Ina maana kusudio la uwepo wako duniani bado lipo.Don't... give... up...!!

06/12/2018
This world is full of idiots distributed strategically so you can meet at least one per day😉😉😉😉😉
12/02/2017

This world is full of idiots distributed strategically
so you can meet at least one per day😉😉😉😉😉

The path to success is taken by massive,determined actions. Small deeds done are greater than big deeds planned. 2017......
03/02/2017

The path to success is taken by massive,determined actions. Small deeds done are greater than big deeds planned. 2017....

Amen....
14/01/2017

Amen....

Address

Arusha
255

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00

Telephone

0767436723

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when G.STOP & SHOP posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share