Munira Masoko

Directions

Munira Masoko Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Munira Masoko, Business service, Bunda Mjini, Bunda.

HAYA NDIO MADHARA MAKUBWA YA VITAMBI NA UNENEKawaida mwili wa mwanaume huhifadhi mafuta ya ziada tumboni na mwili wa mwa...
30/06/2022

HAYA NDIO MADHARA MAKUBWA YA VITAMBI NA UNENE

Kawaida mwili wa mwanaume huhifadhi mafuta ya ziada tumboni na mwili wa mwanamke huhifadhi mafuta ya ziada kwenye makalio lakini mafuta yakizidi huweza kuhifadhiwa kote makalioni na tumboni.

Madhara ya unene yanayobabisha vifo hivyo na ulemavu wa kudumu.
1. Ugonjwa wa kisukari;
Hii ni ugonjwa ambao mwili hushindwa kupambana na wingi wa sukari uliopo ndani ya mwili kutoka kwenye chakula anachokula na hii huweza kusababishwa kutotengenezwa kabisa kwa homoni ya insulin au homoni ya insulin kushindwa kuingia ndani ya cell nene[fat cell] ambazo huwepo mtu akiwa mnene.

2. Ugonjwa wa moyo:
Mafuta mengi ndani ya mwili wa binadamu hujaa kwenye mishipa ya damu na kuzuia damu kupita kirahisi hivyo moyo hutanuka na kuongezeka ukubwa ili utengeneze presha kubwa ya kusukuma damu ndani ya mishipa hiyo na dakika za mwisho moyo hushindwa kabisa kufanya kazi.

3. Vifo vya ghafla:
Watu wengi ambao wamekufa ghafla ni wenye uzito uliopitiliza na watu hawa hufa usingizini hii ni kwasababu unene husababisha hali Fulani inaitwa sleep apnoea ambayo muhusika husimama kupumua kwa muda wakati amelala.

4. Kansa za aina mbalimbali;
Unene hufanya mwili kushindwa kupambana na seli zinazosababisha kansa hivyo mtu huwa kwenye hatari ya kupata kansa ya figo, kansa ya kizazi, kansa ya utumbo mkubwa, kansa ya maini, kansa ya tezi dume, kansa ya kongosho, kansa ya koo, kansa ya matiti, kansa ya mlango wa uzazi na nyingine nyingi.

5. Kuishiwa nguvu za kiume kabisa;
Kuna kasumba za mtaani wanasema wanaume wembamba wanajua sana kuridhisha wanawake.Hii ni kweli kabisa kwani wanaume wanene huchoka sana kwa shughuli ndogondogo na ikifika jioni huwa hawawezi kufanya chochote lakini pia mafuta mengi kwenye mishipa ya damu inayopeleka damu kwenye uume hufanya uume uishiwe nguvu kabisa.

6. Ugumba kwa wanawake;
Unene husababisha homoni za wanawake kutokua katika mfumo mzuri[unbalanced] na pia wanawake hawa hupata sana kansa za mifuko ya uzazi au uvimbe na hali hii huweza kusababisha kutozaa kabisa.

Munira Herbs tunalo suluhisho la uhakika la kuondoa kitambi na Unene,
Dawa zetu ni za asili na hazikufanyi uharishe.

Wasiliana nasi Sasa,
0769732505

Address

Bunda Mjini
Bunda
22225

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Munira Masoko posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share