Gracefaith's Online General Store

Gracefaith's Online General Store Buy my natural products online

No stress Zone... Una enjoy na fursa unak**ata mwanamke... 0655122887 ndo namba ya kuungwa kwa group. Au andika nitakuad...
14/05/2025

No stress Zone... Una enjoy na fursa unak**ata mwanamke... 0655122887 ndo namba ya kuungwa kwa group. Au andika nitakuadd👌👌👌🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

Ndani ya Singida kudekaa kwa mama na Kazi. Hayaaa mnaotaka mafuta ya Alizeti, Ubuyu, Mchele bila kusahau Asali nzuri pig...
05/10/2024

Ndani ya Singida kudekaa kwa mama na Kazi. Hayaaa mnaotaka mafuta ya Alizeti, Ubuyu, Mchele bila kusahau Asali nzuri piga tu 0788336005...

09/08/2024
Karibu Group la Safari ya Zanzibar November... K**a tu ni msafiri. Maliza mwaka kwa Kufurahia na wengine na kujenga netw...
05/08/2024

Karibu Group la Safari ya Zanzibar November... K**a tu ni msafiri. Maliza mwaka kwa Kufurahia na wengine na kujenga network mpyaaa

Fuata link kujiunga:
https://chat.whatsapp.com/LPf8tqfIuZtLfFEzribF8D

Au whatspp/Call 0655122887

30/04/2024

Offer ya safari ya Nyerere National Park imebaki nafasi 6 tu! Usichelewe kutalii na mwanao kipindi cha likizo kwa sh laki mbili tu.
Njoo whatsapp 0655122887

18/02/2024

*WOMEN* *AND MEN IN* *TOUR TANZANIA*

*Muungano* Day 26 hadi 28 April 2024 kutakua n safari ya kwenda Nyerere National park(Zamani ilijulikana k**a pori la hifadhi Selous) sasa hivi ndio Mbuga kubwa kuliko zote Africa na ina wanyama wengi. Pia ndio Mbuga unawezs ku off road na kuwaona wanyama kwa Karibu zaidi. Karibu uchangie kidogo ukafurahie ukishirikiana na wengine.

*Shughuli*
Kutalii Mbugani
Kuogelea kwenye maji moto
Kupanda Boat
Kutembelea boma ya wamasai

*Gharama*
360000(Laki tatu na sitini tu)
Kwa ajili *Usafiri* kuanzia Dar
*Chakula* , Malazi na *Viingilio* sehemu zote.

Ukilipa hiyo wee kazi yako ni kubeba Bag na kwenda kufurahia uzuri wa Tanzania.
Unaruhusiwa kulipa kidogo kidogo kadri uwezavyo...

Habari njema zaidi ukimualiaka mwenzio mkaenda wote mnapata punguzo🥰🥰

Usikose Utalii ni Afya ya mwili Roho na Akili......

0655122887 kwa Maulizo

Je unapenda kutalii kwenye mbuga na vivutio vya Tanzania na hujui uanzie wapi? Women and Men in Tour Tanzania, Tumekuand...
15/02/2024

Je unapenda kutalii kwenye mbuga na vivutio vya Tanzania na hujui uanzie wapi? Women and Men in Tour Tanzania, Tumekuandalia Tour kwa Gharama nafuu na unalipia kidogo kidogo kadri uwezavyo!!

*Nyerere National Park*
Tar 26 hadi 28 April

*Mkomazi na Magoroto*
26 hadi 28 July

Karibu inbox kwa maelezo zaidi au piga 0655122887

https://chat.whatsapp.com/FJzYnZjHI428DHaL1gygczKaribu safari ya Nyerere National parkSiku tatu kwa 360000 mtu mmoja kws...
13/02/2024

https://chat.whatsapp.com/FJzYnZjHI428DHaL1gygcz

Karibu safari ya Nyerere National park

Siku tatu kwa 360000 mtu mmoja kws ajili ya
Chakula,Malazi, Viingilio na usafiri kuanzia Dar na mbugani.

Piga 0655122887 kwa maelezo zaidi

WhatsApp Group Invite

Happy birthday mdogo wangu. Our very own Eng...                                           3 Yohana 1:2 Mpenzi naomba ufa...
18/12/2023

Happy birthday mdogo wangu. Our very own Eng... 3 Yohana 1:2
Mpenzi naomba ufanikiwe katika mambo yote na kuwa na afya yako, k**a vile roho yako ifanikiwavyo.

Yaani kifupi ufanikiwe sana maana nina malipizi ya kufanya eeeeeheeh😅😅😅😅

Usihangaike kupata sehemu salama ya kumpeleka mwanao kusoma 2024. KEMMON PRE AND PRIMARY SCHOOL IS THE BEST!
16/12/2023

Usihangaike kupata sehemu salama ya kumpeleka mwanao kusoma 2024. KEMMON PRE AND PRIMARY SCHOOL IS THE BEST!

Tsg Queen😍
22/10/2023

Tsg Queen😍

Address

31226
Bunju
255

Telephone

+255788336005

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Gracefaith's Online General Store posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Gracefaith's Online General Store:

Share