11/02/2022
Hello Everyone, Habari za Asubuh. Karibu katika App ya E-Gouwu ambayo unanunua vitu kutoka China kwa bei nafuu. Hii App inapatikana kwenye simu zote. Kuna Youtube Channel ambayo itakuonyesha jinsi ya kudownload na kununua bidhaa au kutuma mzigo. Mzigo wako unaletwa mpka ulipo. Karibu tukuhudumie. Asanteni