FUGA samaki kitaalamu

FUGA samaki kitaalamu Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from FUGA samaki kitaalamu, Business service, Dar es salaam, Dar es Salaam.

05/09/2024

Bwawa la samaki,

Inatakiwa kuwa imara ili kuepusha hasara kwahiyo kuwa makini na fundi wako

Samaki kumbe anafugika....? Ndiooo kumbe ulikuwa hujui 🤣🤣🤣
05/09/2024

Samaki kumbe anafugika....?

Ndiooo kumbe ulikuwa hujui 🤣🤣🤣

*FUGA SAMAKI KITOWEO MUHIMU 🐟🎣*. _Je wajuaaaa Kuna umuhimu wa kula samaki wako fresh toka nyumbani🏘️🏚️..........__Fuga s...
05/09/2024

*FUGA SAMAKI KITOWEO MUHIMU 🐟🎣*.

_Je wajuaaaa Kuna umuhimu wa kula samaki wako fresh toka nyumbani🏘️🏚️.........._

_Fuga samaki wako nyumbani hata Kwa kiwango kidgo Pata uhakika wa mboga nyumbani........_

_Jenga bwawa weka na vifaranga samaki anafugikaaaa😁😁_

_Karibu Sana Kwa gharama nafuu Pata kitoweo nyumbani 🐟🎣🐟🐟_

*Voda 0766001014*
*Tigo 0678740249*
Email. [email protected]

Kwanini nifuge samaki???Vipi kuhusu soko la samaki???Aina ipi ya samaki nzuri kufuga???Je maji yapi yanastahili kufugia ...
18/02/2024

Kwanini nifuge samaki???

Vipi kuhusu soko la samaki???

Aina ipi ya samaki nzuri kufuga???

Je maji yapi yanastahili kufugia samaki???

Je samaki wanafugwa miezi mingapi hadi kuvuna???

Je Kuna aina ngapi za mabwawa ya kufugia samaki???

Samaki wanakula Chakula gani???

KWA HAYO YOTE KARIBU MJENGONI UTAJIFUNZA NA KUPATA ELIMU ILIYO NZURI

REVOCATUS JOVIN 0766001014

Je wajua samaki anafugika..........Je wajua twahangaika Sana ili tupate kula.........Je wajua Kuna faida Za kuwa na kito...
17/09/2023

Je wajua samaki anafugika..........

Je wajua twahangaika Sana ili tupate kula.........

Je wajua Kuna faida Za kuwa na kitoweo nyumbani.........

Je wajua mboga ndio ya muhimu katika lishe.........

Je kwanini usijitahid ukafuga samaki wako nyumbani..... 🎣🐟🎣🐟🎣

Je nifanye nini ili nipate mavuno yaliyo mazuri katika ufugaji wa samaki......?Karibu darasani 0678740249
26/07/2023

Je nifanye nini ili nipate mavuno yaliyo mazuri katika ufugaji wa samaki......?

Karibu darasani 0678740249

*FOREVER AQUA & LAND FARMING 🐟🎣*```Mtu asiye na matumaini huona ugumu katika kila fursa. Mwenye matumaini huona fursa ka...
26/04/2023

*FOREVER AQUA & LAND FARMING 🐟🎣*

```Mtu asiye na matumaini huona ugumu katika kila fursa. Mwenye matumaini huona fursa katika kila shida.```

~Tukiwa katika ujenzi wa bwawa la samaki kitoweo kinapatikana nyumbani~

*Karibu TUKUHUDUMIE samaki anafugika*

*☎️☎️0678740249*
*☎️☎️0612001014*
*Email [email protected]*

He wajua samaki anafugika Revocatus Jovine  Forever fish department
10/02/2023

He wajua samaki anafugika Revocatus Jovine Forever fish department

*MIUNDO MBINU YA KUFUGIA SAMAKI 🛣️🛣️🐟🎣*
Samaki anaweza kufugwa katika miundo mbinu tofauti kulingana na mazingira na upatikanaji wa vifaa

*1⃣Mabwawa ya udongo*
Mabwawa ya udongo Ni njia ya zamani lakini bado Ni njia nzuri Hadi Sasa, ukilinganisha na mengine mabwawa haya ni rahisi kujengea pia kuyahudumia.Mabwawa haya ujengwa hasa kwenye udongo mfinyanzi ili kuzuia maji kupotea.

*2⃣Mabwawa ya cement*
Hizi Ni Aina ya bwawa ambazo mkulima hutumia akiwa na kipato Cha kutosha sababu linadumu kwa muda mrefu bila kufanyiwa matengenezo, haya mabwawa hutumika sehemu ambayo haina udongo mfinyanzi.

*3⃣Mabwawa ya nailoni*
Bwawa za nailoni hizi Ni Aina ya bwawa zinazotumiwa na wakulima wengi sababu Ni mabwawa ambayo hayana gharama kubwa katika kutengeneza.

*4⃣Mabwawa ya kuhamisha*
Mabwawa ya kuhamishika haya mabwawa hutumika Sana hasa kwenye sehemu ambayo mazingira hayaruhusu kuchimba.

*5⃣Vizimba (cage)*
Vizimba hii Ni system ya ufugaji samaki ambayo hutumiwa katika vyanzo asilia vya maji, uchukua Vizimba na kwenda kuweka katika vyanzo asilia vya maji.

Name REVOCATUS JOVINE
Email. [email protected]
Phone 0766001014
0758122492
Email. [email protected]

Address

Dar Es Salaam
Dar Es Salaam

Telephone

+255678740249

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when FUGA samaki kitaalamu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to FUGA samaki kitaalamu:

Share