Real time documentaries & photo studio

Real time documentaries & photo studio The page is all about the professional photos in different events all over Tanzania, day to day docu

21/01/2026

With Shammyai – I just got recognized as one of their top fans!

Huduma Kwa jamii.
30/11/2025

Huduma Kwa jamii.

Rock City Oktoba wanatiki
16/10/2025

Rock City Oktoba wanatiki

Hongera sana Alphonce Felix Simbu kushinda medali ya dhahabu World Athletic marathon.
15/09/2025

Hongera sana Alphonce Felix Simbu kushinda medali ya dhahabu World Athletic marathon.

NAIBU KATIBU MKUU WA CHAMA CHA WAFUGAJI TANZANIA AJITOSA UBUNGE JIMBO LA HANANG’Hanang’, Manyara – Julai 2, 2025Katika t...
04/07/2025

NAIBU KATIBU MKUU WA CHAMA CHA WAFUGAJI TANZANIA AJITOSA UBUNGE JIMBO LA HANANG’

Hanang’, Manyara – Julai 2, 2025

Katika tukio lililojaa shamrashamra, nderemo na hamasa ya aina yake, Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Wafugaji Tanzania (CCWT), Ndugu Ally Manonga leo ameweka historia mpya kwa kuchukua na kujaza fomu ya kuomba kuteuliwa kuwa mgombea ubunge wa Jimbo la Hanang’ kupitia chama tawala. Tukio hilo limefanyika katika ofisi za chama wilayani Hanang’, likishuhudiwa na maelfu ya wananchi, wafuasi wa chama, pamoja na viongozi wa wafugaji kutoka mikoa mbalimbali.

Ndugu Manonga, ambaye anajulikana kwa msimamo wake thabiti katika kutetea maslahi ya wafugaji na maendeleo ya jamii za wafugaji, amesema uamuzi wake wa kuingia katika siasa unatokana na kiu yake ya kweli ya kuleta mageuzi ya kiuchumi na kijamii kwa wakazi wa Hanang’ na Watanzania kwa ujumla.

> “Muda umefika sasa kwa watu wa Hanang’ kupata kiongozi anayewatetea kwa vitendo, si kwa maneno. Nimeishi na kushuhudia changamoto za wafugaji, wakulima na vijana—na nina nia ya dhati ya kuzitatua. Siendi bungeni kwa ajili ya umaarufu, bali kwa ajili ya mapambano ya kweli ya maendeleo ya watu wetu,” alisema Ndugu Manonga kwa sauti iliyojaa ari.

Wadau wa maendeleo, wanaharakati wa haki za ardhi, na vijana wamepongeza hatua hiyo wakisema inaleta matumaini mapya ya sauti ya kweli kutoka kwa jamii ambazo kwa muda mrefu zimekuwa pembezoni mwa maamuzi ya kitaifa.

Je, Hanang’ iko tayari kwa mabadiliko? Je, sauti ya mfugaji sasa itasikika bungeni? Majibu yatapatikana Oktoba, lakini leo, upepo wa matumaini umepuliza Hanang’, na jina la Ally Manonga limeandikwa kwenye vichwa vya watu k**a mwamko mpya wa uongozi wa wananchi.

— MWISHO

03/07/2025
ALLY MANONGA AJITOKEZA KUWANIA UBUNGE JIMBO LA HANANGNaibu Katibu Mkuu wa Chama cha Wafugaji Tanzania, na Kada kijana wa...
03/07/2025

ALLY MANONGA AJITOKEZA KUWANIA UBUNGE JIMBO LA HANANG

Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Wafugaji Tanzania, na Kada kijana wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndg. Ally Manonga, amejiunga rasmi katika kinyang'anyiro cha kuwania ubunge wa Jimbo la Hanang baada ya kuchukua na kurejesha fomu ya kugombea nafasi hiyo.

Ndg. Manonga anakuja na ajenda mahususi ya kuondoa umaskini kwa wananchi wa Hanang kwa kutumia rasilimali zilizopo ndani ya jimbo hilo. Anasisitiza matumizi bora ya ardhi nzuri ya kilimo, fursa za ufugaji na uvuvi k**a njia kuu za kuinua uchumi wa wananchi na kukuza maendeleo ya Hanang kwa ujumla.

12/03/2025

Hekima ni nini?

10/10/2024

OPARESHENI zinazoendelea LIWALE kijiji cha MIRUI jana zilimuua MFUGAJI kijana wetu wa KIBARBAIG kwa kumpiga RISASI kijana mmoja mpaka KUFA na mwingine KUVUNJWA MIGUU jana tarehe 09/10/2024.

Chama Cha Wafugaji Tanzania tunakemea vikali kitendo hicho Cha Jeshi la polisi kutumia risasi za moto na nguvu kubwa katika operesheni hizo.
Tukumbuke kuwa kuwaumiza wafugaji ni kuwaumiza watanzania na Kuna madhara makubwa sana katika kufanya hivo, wafugaji ndiyo wapiga kura waaminifu wasiokuwa wanafiki Kwa sababu Wana uchumi mkubwa na hawawezi kurubuniwa Kwa rushwa.
Tunaviasa vyombo na mamlaka husika kuchukua hatua Kali Kwa askari waliohusika katika tukio Hilo la mauaji na matukio mengine ya aina hiyo.

Ally Manonga
Naibu Katibu Mkuu -CCWT

27/08/2024

Uwekezaji ktk sekta z ya mifugo

20/06/2024

Ajira Ajira Ajira

Naomba Vijana 20 waje wapewe ajira ya ulinzi mshahara laki 4.
Piga simu 0713121220

Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 08:00 - 23:00
Tuesday 08:00 - 23:00
Wednesday 08:00 - 23:00
Thursday 08:00 - 23:00
Friday 08:00 - 23:00
Saturday 08:00 - 18:00
Sunday 08:00 - 18:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Real time documentaries & photo studio posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Real time documentaries & photo studio:

Share