Bestfy Shop

Directions Website Contact the business

Bestfy Shop Kuwa Na Afya Bora & Mwenye Furaha | Karibu Bestfy Shop, Best for you.

Wallet nene inayojaa mfukoni na kadi zinazopotea kila mara? 😩 Card Holder Wallet ni  ndogo na ya kisasa: bonyeza kitufe ...
13/10/2026

Wallet nene inayojaa mfukoni na kadi zinazopotea kila mara? 😩 Card Holder Wallet ni ndogo na ya kisasa: bonyeza kitufe na kadi zako zinatoka kwa mpangilio, tayari kutumia. Ndani yake kuna nafasi ya pesa za noti pia, hivyo kila kitu kiko sehemu moja.

βœ… Kadi zinatoka kwa kubonyeza mara moja tu
βœ… Nafasi ya kadi pamoja na noti
βœ… Ndogo na nyembamba, inaingia mfuko wa suruali au shati
βœ… Muonekano wa kisasa, zawadi nzuri kwa ndugu au rafiki

πŸ’° Bei: TZS 15,000 tu
πŸ“ Mwenge & Makumbusho - DSM
🚚 Tunafanya delivery ndani na nje ya Tanzania
πŸ“ž Kuagiza Tupigie: 0746 076 027

12/10/2026

Maumivu ya mgongo, kiuno, shingo au magoti yanakusumbua kazini na hata ukilala? 😣 Pain Relief Patch ni padi unayobandika moja kwa moja sehemu yenye maumivu, inayosaidia kupunguza maumivu na kukaza misuli iliyochoka, ili uendelee na shughuli zako kwa urahisi.

βœ… Rahisi kubandika, haionekani chini ya nguo
βœ… Inafaa kwa mgongo, kiuno, shingo, mabega na magoti
βœ… Unaweza kuitumia nyumbani au kazini

πŸ’° Bei: TZS 10,000 tu kwa pakiti (padi 5 ndani)
πŸ“ Mwenge & Makumbusho - DSM
🚚 Tunafanya delivery ndani na nje ya Tanzania
πŸ“ž Kuagiza Tupigie: 0746 076 027

Mgonjwa wa stroke, ganzi ya mikono au miguu, au misuli iliyodhoofika? 😟 TENS 9000+ Pro ni mashine ya kuchochea misuli na...
12/10/2026

Mgonjwa wa stroke, ganzi ya mikono au miguu, au misuli iliyodhoofika? 😟 TENS 9000+ Pro ni mashine ya kuchochea misuli na neva kwa mawimbi madogo ya umeme, inayosaidia kwenye mazoezi ya kurejesha nguvu ya misuli na kupunguza maumivu, ukiwa nyumbani au kliniki.

πŸ‘¨πŸΎβ€βš•οΈ Madaktari, physiotherapists, kliniki na hospitali: mashine imara ya kitaalamu kwa huduma ya kila siku kwa wagonjwa wako.

βœ… Skrini ya kidijitali, rahisi kutumia
βœ… Nguvu inarekebishwa kulingana na mgonjwa
βœ… Inakuja na pedi, nyaya na mkoba imara wa kubebea
βœ… Inafaa kwa mikono, miguu, mgongo, shingo na mabega

⚠️ Kwa wagonjwa wa stroke, tumia kwa ushauri wa daktari au physiotherapist. Haifai kwa wenye pacemaker au wajawazito.

πŸ’° Bei: TZS 195,000 tu (Badala ya 250,000)
πŸ“ Mwenge & Makumbusho - DSM
🚚 Delivery BURE
πŸ“ž Kuagiza Tupigie: 0746 076 027

Presha mara nyingi haina dalili, na wengi hugundua wakiwa wamechelewa. 🩺 Pima presha yako ukiwa nyumbani kwa High Precis...
11/10/2026

Presha mara nyingi haina dalili, na wengi hugundua wakiwa wamechelewa. 🩺 Pima presha yako ukiwa nyumbani kwa High Precision BP Monitor: unafunga mkanda mkononi, unabonyeza kitufe kimoja, na majibu yanaonekana kwenye skrini kubwa.

βœ… Hupima presha (SYS/DIA) na mapigo ya moyo kwa wakati mmoja
βœ… Kitufe kimoja tu, rahisi hata kwa wazee
βœ… Skrini kubwa, namba rahisi kusoma
βœ… Huhifadhi vipimo ili ufuatilie mabadiliko na umwonyeshe daktari

πŸ’° Bei: TZS 65,000 tu (Badala ya 95,000, unaokoa 30,000!)
πŸ“ Mwenge & Makumbusho - DSM | 🚚 Delivery BURE Tanzania nzima
πŸ“ž Kuagiza Tupigie: 0746 076 027

11/10/2026

Maumivu ya mgongo, kiuno au magoti hayakuachi hata ukilala? 😣 Electric Heated Blanket inapeleka joto la tiba moja kwa moja kwenye sehemu inayouma, kulegeza misuli iliyokaza ili mwili upumzike.

βœ… Husaidia kupunguza maumivu ya mgongo, kiuno, magoti na mabega
βœ… Joto la tiba unalorekebisha mwenyewe
βœ… Unaweza kulitumia ukiwa umekaa au umelala
βœ… Hujizima lenyewe baada ya muda

πŸ’° Bei: TZS 65,000 tu (Badala ya 95,000, unaokoa 30,000!)
πŸ“ Mwenge & Makumbusho - DSM | 🚚 Delivery BURE, ndani ya Tanzania
πŸ“ž Kuagiza Tupigie: 0746 076 027

10/10/2026

Unataka tumbo flat lakini huna muda wa gym? πŸ’ͺ🏾 Abs Rebound Roller ni roller ya tumbo yenye spring inayokurudisha yenyewe, ili ufanye mazoezi ya tumbo kwa urahisi na usalama zaidi ukiwa nyumbani.

βœ… Husaidia kuimarisha misuli ya tumbo, mgongo, mikono na mabega
βœ… Spring inakurudisha nyuma, hivyo ni rahisi hata kwa wanaoanza
βœ… Dakika 10 tu kwa siku nyumbani
βœ… Imara, nyepesi, na haichukui nafasi

⚠️ Anza taratibu. K**a una tatizo la mgongo, shauriana na daktari kwanza.

πŸ’° Bei: TZS 75,000 tu (Badala ya 120,000, unaokoa 45,000!)
πŸ“ Mwenge & Makumbusho - DSM | 🚚 Tunatuma ndani na nje ya Tanzania
πŸ“ž Kuagiza Tupigie: 0746 076 027

01/10/2026

JC22 Rugged smartwatch, Ngumu mnoo!

βœ… 2-years warranty
βœ… 4GB memory capacity
βœ… 2 weeks battery life
βœ… Rugged: haiharibiki kizembe

πŸ”₯Tupo: Mwenge & Makumbusho | 0746 076 027

22/09/2026

Resistance Pedal ni kifaaa kinachokusaidia kuimarisha misuli ya tumbo, mikono na mgongo. Unaitumia popote, wakati wowote unaotaka, iwe kitandani, sebuleni au hata ofisini.

βœ… Bei: Tsh. 25,000 Tu!
πŸ“ Tupo Mwenge & Makumbusho

16/09/2026

Address

Mwenge Shopping Center, 1st Floor/old Mwenge Bus Station (Mataa)
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Bestfy Shop posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Bestfy Shop:

Shortcuts

Share

Category