PESA FASTA

PESA FASTA Elimu ya Kiroho, Uchumi & Mahusiano

Do & Don't on social media
18/08/2021

Do & Don't on social media

Do & Don't on social media
Maisha ya Mtandaoni ni k**a maisha yakwenye jamii ya kawaida, isipokuwa kuna tofauti ndogo sana. K**a mjasiliamali Leo tu Jifunze nini cha kufanya na nini cha kutokufanya Mtandaoni.
Mambo yanayopaswa kufanywa :-
1.Onyesha chanzo cha taarifa k**a WEWE si mwanzilishi wa hiyo taarifa
2.Omba idhini kushare taarifa ya mtu ambayo haipo wazi/public
3.Heshimu faragha ya mtu, k**a ataki picha/jina kuonekana fanya hivyo
4.Ondoa uongozi/admin kwa mtu aliyebadilishiwa majukumu/kuhama ofisi
5.Linda account yako dhidi ya wadukuzi
6.Fuata sera yako ya mitandao ya kijamii
7.Fuata sheria za chi zinazo simamia mawasiliano ya kimtandao
8.Jiulize itakuwaje k**a ntaweka haya Maudhui Mtandaoni kabla ya kuweka
0652677135 Mr Hamza

Je unataka kutengeneza pesa fasta?
14/08/2021

Je unataka kutengeneza pesa fasta?

Address

Dar
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when PESA FASTA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share