06/09/2026
đź’šđź’›Naomba niwaombe viongozi wangu wa Yanga najua mnaweledi mkubwa sana kwenye kufanya mambo yenu ila kuna kampemi chafu inaendelea kuifanya Yanga iaibike kimataifa, mnacheza na watu wengi.TUOMGEZE UMAKINI
đź’šKabla ya mechi hii na Gaborone msemaji wao alisema wanajua pakuanzia maana walishacheza na mtu kutoka hapa nyumban na ukiangalia namna michezo ya nje ya uwanja ilivyokuwa inaenda kulikuwa na dalili zote Lunyasi ndio wanawapotosha hawa jamaa mfano kitendo cha kishirikina walichofanya uwanjani Gaborone wale ni Lunyasi kabisa.
đź’›Kitendo kingine ni redio mbao za hapa nyumbani zenye mawakala wa Lunyasi zilifanya kampeni wiki nzima kuiimba Yanga ni Underdog kimataifa wakijua kabisa nini kinaendelea kati ya Lunyasi na Gaborone.
ENG Hersi tunakuomba Sana mechi ya nyumbani zidisheni umakini wanatumiaa waandishi wao kudogosha ukiwa wa Yanga kimataifaa wakati ukweli ulivyo ni tofauti kabisa.