28/10/2021
Unahitaji kinywaji healthy cha kupooza koo na kukupa nguvu ya kuendelea kuchakarika na kazi zako?🤔
Jaribu kahawa ya baridi ya maziwa (iced coffee) yenye utamu wa % 😋
Vitu go
1️⃣Maziwa fresh
2️⃣Kahawa unayopendelea
3️⃣Asali100% kuipa ladha nzuri
4️⃣ Barafu
Kwa mahitaji ya asali jumla na reja reja wasiliana nasi kupitia DM Au WhatsApp 0718475313.