Mlewaz Recoveries & Consultants

Mlewaz Recoveries & Consultants TUNATOA HUDUMA YA
1.Kusajili Kampuni Mpya (Brela)
2.Kusajili Jina la Biashara (Brela)

Karibu tukupatie ushauri wa kuusu maswala yote ya husianayo na kampuni pia mchakato mzima kuanzia kuandaa nyaraka zote m...
14/01/2026

Karibu tukupatie ushauri wa kuusu maswala yote ya husianayo na kampuni pia mchakato mzima kuanzia kuandaa nyaraka zote muhimu zinazohitajika na BRELA wakati wa kutuma maombi ya usajili wa kampuni.

Hivyo k**a nawe unauhitaji na upo tayar tukusaidie mchakato wa usajili wa kampuni k**a huyo mteja wetu hapo juu tuliomsajilia kampuni yake basi usisite kututafuta kwa kupiga simu au kutuma message whatsapp kupitia namba 0742691119.

Office zetu zinapatika Dar es salaam ,ilala Boma Jengo la Mwalimu House floor namba 5 kulia.

MWENZAKO TAYARI AMESHASAJILI JINA LAKE LA BIASHARA  NA YUPO TAYARI KUIANZA SAFARI YA KUTIMIZA NDOTO YAKE YA KUKUA KIBIAS...
31/12/2024

MWENZAKO TAYARI AMESHASAJILI JINA LAKE LA BIASHARA NA YUPO TAYARI KUIANZA SAFARI YA KUTIMIZA NDOTO YAKE YA KUKUA KIBIASHARA.

Wasiliana nasi popote ulipo nchini tutakusaidia kwakukupa ushauri wa jinsi yakuipa jina zuri la biashara yako kulingana na matwakwa ya sheria ya usajili wa majina ya biashara na huduma zetu zitakufikia kwakupiga sim au kwakutuma message katika Whatsapp kupitia namba hii 0742691119 au kwakugusa hapo palipoandikwa WHATSAPP chini ya POST hii kuja whatsapp moja kwa moja

Zipo Faida  Nyingi Ila Kwa leo Chukua Hizi Tatu  Za Msingi Na Za Muhimu Unazopaswa kuzijua nakuzizingatia kwa umakini.1....
22/03/2024

Zipo Faida Nyingi Ila Kwa leo Chukua Hizi Tatu Za Msingi Na Za Muhimu Unazopaswa kuzijua nakuzizingatia kwa umakini.

1.Unapokua unafanya biashara kwa mfumo wa Kampuni unakua na uhakikia wakuomba nakushinda kwa asilimia 98% zabuni (Tender) zote zinazokua zimetangazwa na serikali , taasisi au kampuni binafsi kwani zabuni nyingi zinatangazwa kwa makampuni na ili uombe lazima uwe ni kampuni na ili uthibitishe kua wewe ni kampuni ni lazima uambatanishe cheti cha usajili kutoka brela yani CERTIFICATE OF INCORPORATION na cheti hiki hutolewa kwa kampuni zilizosajiliwa na BRELA Pekee.

2.Unapokua unafanya Biashara kwa mfumo wa kampuni unakua na uwezo wakufanya biashara zaidi ya kumi katika kampuni yako hiyohiyo moja kitu ambacho kitakua kinakuongezea kipato mara dufu kwani utakua na vyanzo vingi vya mapato tofauti na kufanya biashara moja tu.

3.Moja ya sifa ya Kampuni ni kua hua haifi hata ikitokea muanzilishi wake amefariki bas kampuni itaendelea kuwepo kwani kuna makampuni hapahapa Tanzania na duniani yameanzishwa miaka zaid ya 100 na walioanzisha hawapo duniani ila bado kampuni hizo zipo hivyo k**a unampango wakuanzisha biashara ambayo itakua na faida kwako nakuendelezwa na watoto wako au ndugu zako hata ikitokea ww haupo duniani k**a utaacha mfumo mzuri wa ufanyaji kazi bas kampuni yako itaendelea kuepo kwa kuendelezwa na wategemezi wako bila shaka yoyote.

By the way k**a umeona faida hizi zinaeza kukusaidia kwa malengo yakiuchumi uliojiwekea tunakukaribisha katika huduma ya USAJILI WA KAMPUNI tunayoitoa ambapo tutakusaidia kuandaa nyaraka zote muhimu zinazohitajika na BRELA wakati wa kutuma maombi ya usajili wa kampuni pia tutafatilia mpaka cheti cha uthibitisho wa usajili wa kampuni yako kitakapo toka.

Kwa gharama ya Tsh 350,000 ni malipo utayotulipa ili tukusaidie mchakato huu wote na ni pesa utayoilipa kwa awamu mbili ambayo malipo haya ni tofauti na malipo ya BRELA , ofisi zetu zipo ilala boma jengo la mwalimu house ghorofa no 5 kulia
K**a unaitaj huduma hii serious bonyeza link hapo katika picha palipo andikwa SEND MESSAGE au CHAT ON WHATSAPP itakuleta moja kwa moja katika whatsapp tutumie msg tukuhudumie. Namba zetu za simu ni 0742691119

Swipe Left Ili Kuhakikisha Slide Namba 3 na 9 umezisoma kwa umakini!
08/02/2024

Swipe Left Ili Kuhakikisha Slide Namba 3 na 9 umezisoma kwa umakini!

Ili kampuni iwe inafanya shughuli zilizo ndani yaUwezo wake basi ni lazima shughuli hizo ziwe zimeorodheshwa katika memo...
22/11/2023

Ili kampuni iwe inafanya shughuli zilizo ndani ya
Uwezo wake basi ni lazima shughuli hizo ziwe zimeorodheshwa katika memorandum ya kampuni husika.

Kwani ni kosa kisheria kwa kampuni kufanya shughuli ambazo hazijatajwa moja kwa moja katika orodha ya shughuli zitazofanywa na kampuni kwakua kabla ya kampuni kusajiliwa ni lazima wanahisa wa kampuni waorodheshe katika memorandum ya kampuni malengo au shughuli ambazo wao k**a kampuni watakua wanazifanya.

Hivyo ikiwa kampuni itakua inafanya shughuli ambayo haijaorodheshwa katika memorandum itakua inafanya kosa na adhabu yake inaeza kufutiwa usajili au faini au vyote kwa pamoja hivyo ni muhimu kuzingatia hili kwa yeyote anaemiliki au mwenye lengo lakumiliki kampuni.

Tunakushauri ili uepukane na adhabu hizi kabla ya kusajili kampuni fikiria kiundani ni shughuli zipi unaitaj zifanywe na kampuni yako na uziorodheshe zote bila kusahau hata moja katika memorandum kabla kampuni haijasajiliwa rasmi.

Sasa basi k**a unamaoni au unaitaji ushauri wa aina yoyote unaohusu maswala ya kampuni usisite kuwasiliana nasi kupitia whatsapp au kwa kupiga sim kwenda namba 0742691119.


MWENZAKO TAYARI AMESHASAJILI JINA LAKE LA BIASHARA  NA YUPO TAYARI KUIANZA SAFARI YA KUTIMIZA NDOTO YAKE YA KUKUA KIBIAS...
30/01/2023

MWENZAKO TAYARI AMESHASAJILI JINA LAKE LA BIASHARA NA YUPO TAYARI KUIANZA SAFARI YA KUTIMIZA NDOTO YAKE YA KUKUA KIBIASHARA.

Wasiliana nasi popote ulipo nchini tutakusaidia kwakukupa ushauri wa jinsi yakuipa jina zuri la biashara yako kulingana na matwakwa ya sheria ya usajili wa majina ya biashara na huduma zetu zitakufikia kwakupiga sim au kwakutuma message katika Whatsapp kupitia namba hii 0742691119 au gusa hapo palipo andikwa WHATSAPP chini ya POST hii kuja whatsapp moja kwa moja

Jina la kampuni/biashara ni utambulisho kwa wateja wako uliowakusudiaHivyo jina la kampuni yako ndio kitu pekee watakach...
11/01/2023

Jina la kampuni/biashara ni utambulisho kwa wateja wako uliowakusudia

Hivyo jina la kampuni yako ndio kitu pekee watakachokua wanakumbuka kila watakapokua wanafikiria kuhusu huduma au bidhaa za kampuni yako.

Hivyo basi jaribu kufikiria kuipa kampuni yako jina litaloenda kueka utofauti kati yako na washindani wako katika Soko.

Sasa ili kuweza kuja na jina litalokua na faida kwako pamoja na kwa wateja wako yakupasa kufikiria ni kwa jinsi gan kampuni yako italeta uthamani kwa wateja wako uliowakusudia kupitia bidhaa au huduma zaid ya washindani wako kibiashara kwani jina la biashara pekee linaweza weza ku set standard ambayo wateja wako wanategemea kuipata kupitia bidhaa au huduma zakampuni yako.

Hivyo sasa vitu vyakuzingatia kabla yakuipa kampuni yako jina hakikisha unazingatia vitu hivi vifuatavyo hapa chini

1.Hakikisha umeshafanya official name search (kupitia BRELA) ili kujiridhisha kua jina unalotaka kulitumia katika kampuni halijasajiliwa na kutumiwa na mtu mwingine katika biashara zake.

2.Hakikisha jina unalotaka kulitumia ni rahisi kutamkwa.

3.Hakikisha jina litakua rahisi kukumbukwa na wateja wako uliowakusudia pindi watapokua wanahitaj huduma au bidhaa za kampuni yako.

4.Hakikisha jina haliwi refu sana kias chakumchosha mteja wako kulitamka na kulikumbuka.

5.Hakikisha ni jina litalokua linaishi mda mref kwani moja ya sifa ya kampuni ni kutokufa hivyo jaribu kuip jina litaloendelea kutumika hata k**a ww muanzilishi wake hautakuepo duniani hapo badae

6.Hakikisha haujilimit katika jina la kampuni yako ikiwa unampango wakufanya biashara zaidi ya moja mfano Usiipe kampuni jina la AGRICULTURE PRODUCE COMPANY LIMITED ikiwa unataka pia kufanya na biashara ya usafirishaj na uagizaj wa vifaa vya electronics au biashara nyingine zaidi ya agriculture kiujumla.

Natumai kuna kitu umejifunza kupitia post hii

Sasa k**a kuna changamoto unapitia kuhusu kuipa jina kampuni yako au biashara yako au unaitaj huduma ya kusaidiwa kutuma maombi ya usajili wa kampuni kupitia BRELA tuwasiliane kwa kupiga simu au Whatsapp kupitia namba 0742691119

Uliza Chochote Hapa Chini Katika Commment  kinachohusu masuala ya kampuni unachoitaj kujua nasi tutakujibu kwa ufasaha k...
21/12/2022

Uliza Chochote Hapa Chini Katika Commment kinachohusu masuala ya kampuni unachoitaj kujua nasi tutakujibu kwa ufasaha kabisa KARIBU!!

MWENZAKO TAYARI AMESHASAJILI JINA LAKE LA BIASHARA  NA YUPO TAYARI KUIANZA SAFARI YA KUTIMIZA NDOTO YAKE YA KUKUA KIBIAS...
30/11/2022

MWENZAKO TAYARI AMESHASAJILI JINA LAKE LA BIASHARA NA YUPO TAYARI KUIANZA SAFARI YA KUTIMIZA NDOTO YAKE YA KUKUA KIBIASHARA.

Wasiliana nasi popote ulipo nchini tutakusaidia kwakukupa ushauri wa jinsi yakuipa jina zuri la biashara yako kulingana na matwakwa ya sheria ya usajili wa majina ya biashara na huduma zetu zitakufikia kwakupiga sim au kwakutuma message katika Whatsapp kupitia namba hii 0742691119

Address

Office Located: At Ilala Boma In Mwalimu House Building Floor No. 5
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mlewaz Recoveries & Consultants posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Mlewaz Recoveries & Consultants:

Share