EDUKA Tanzania

EDUKA Tanzania eDuka ni mfumo wa kisasa unaomrahisishia mmiliki na muuzaji kudhibiti taarifa na shughuli zote zinazoendelea dukani mwake

13/10/2022
Karibu tukuhudumie
11/09/2022

Karibu tukuhudumie

15/03/2022

Hii ni Habari Njema Kwa Wafanya Biashara

K**a wewe ni mfanya biashara wa bidhaa ya aina yeyote, hii inakuhusu na si yakukosa.
Je umeshawahi kutumia au unajua nini kuhusu mifumo ya udhibiti wa biashara kidigitali?
Hapa tunazungumzia uhifadhi wa taarifa za kila kinachoendelea katika duka lako ikiwemo mauzo, manunuzi, taarifa za wasambazaji, wadai wadaiwa n.k. Muhimu zaidi udhibiti wa wafanyakazi au waajiriwa wako.

Eduka ni mfumo utakao kuwezesha kufanya yote haya kwakupitia simu janja au kompyuta.
Unapokua na eduka unaweza kudhibiti biashara yako popote ulipo. Utafaidika na yafuatayo.
(a) Ni bure. Unaweza kutumia eduka bila gharama zozote.
(b) “Taarifa za duka lako, mikononi mwako”. Unaweza kutumia komputa au simu janja;
(c) Dhibiti mienendo ya biashara yako;
(d) Ondoa hofu ya uwekezaji;
(e) Simamia muuzaji/wauzaji wa biashara yako kiurahisi;
(f) Punguza gharama za usimamizi;
(g) Endelea na shughuli zako wakati ukiongeza kasi ya uwekezaji;

Kwa maelezo zaid tembelea tovuti yetu eduka.co.tz

Anza kutumia Bure mfumo wetu. Ni rahisi na ni salama
15/03/2022

Anza kutumia Bure mfumo wetu. Ni rahisi na ni salama

Je uneshawahi kutembelea tovuti yetu??Bonyeza link kwenye BIO ili uweze kujifunza kuhusu eduka.
15/03/2022

Je uneshawahi kutembelea tovuti yetu??
Bonyeza link kwenye BIO ili uweze kujifunza kuhusu eduka.

K**a mfanya biadhara, lengo lako kubwa ni kuongeza faida huku ukipunguza gharama za uendeshaji wa biashara.Hili linaweze...
02/03/2022

K**a mfanya biadhara, lengo lako kubwa ni kuongeza faida huku ukipunguza gharama za uendeshaji wa biashara.
Hili linawezekana kwa kutumia eduka. Utaweza kudhibiti biashara yako kwa kutumia simu janya au computer popote pale ulipo.

Tembelea website yetu eduka.co.tz kwa maelezo zaidi.

Unajua nini kuhusu mifumo ya mauzo na uhifadhi wa taarifa za biashara??Hua unatumia mfumo gani kukusaidia kufanya mauzo ...
01/03/2022

Unajua nini kuhusu mifumo ya mauzo na uhifadhi wa taarifa za biashara??
Hua unatumia mfumo gani kukusaidia kufanya mauzo na kuhifadhi taarifa za duka lako??

eduka ni mfumo fanisi utakaokurahisishia kudhibiti duka lako.
Jifunze kuhusu eduka kwa kutembelea website yetu
eduka.co.tz

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when EDUKA Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to EDUKA Tanzania:

Share