28/04/2023
] Je unachangamoto za usimamizi wa biashara yako ukiwa mbali?
[ ] Je unawasiwasi wa nyumbani kwako pale unapotoka kwenda kazini?
[ ] Je unachangamoto ya kufuatilia malezi ya wanao wakati ukiwa kazini?
[ ] Je unahitaji unachangamoto la usimamizi wa mradi wako wa ufugaji pale unapokuwa nje ya eneo husika
[ ] Unasumbuliwa na vibaka wakati wa usiku?
[ ] Asam Masoko tunakuletea WIFI CCTV camera, Alarm na GPS kwa ajili ya ulinzi wa mali yako na familia.
Jibu la changamoto yako ni WIFI CAMERA inayounganishwa na simu yako na unaweza fatilia matukio yote ukiwa mbali na nyumbani au ofisini kwako.
Tupo sinza mori dar es salama na Shinyanga mjini.
Wasiliana nasi 0714244822
Tutakuhudumia mkoa wowote uliyopo
Asante
1. Motion camera Dome (4G sim card) 200,000
Motion camera Dome 160,000
2.Motion Camera E27 120,000
3. Bulb camera (Flexible) 100,000
4. Mini DV (kamera ya kuficha) 80,000
6. Alarm za milangoni na madirishani 50,000
Tunafanya delivery kwa gharama za mteja. Mkoani tunatuma kwa uaminifu mkubwa.