05/07/2026
Mafanikio yetu hupimwa na mabadiliko kwa jamii. Hakika tumefanya kwa kiwango chetu.
Masterclass ya mwezi huu itajikita kwenye maeneo yafuatayo;
1. Mauzo na masoko
2. Branding (kutengeneza chapa)
3. Jinsi ya kupata wateja na kuwatunza
Jiandikishe leo kupitia 0674 502 925 📲
Venue: PSSSF COMMERCIAL COMPLEX 30TH FLOOR
Date: 25th JULY 2026
Powered by: YAS
*Free ENTRY for Roadtosuccesstz mentees*