Rama d hassani

Rama d hassani Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Rama d hassani, Business service, kisemvule pwani, Dar es Salaam.

RAFA PRODUCTS tumewaletea wantanzania wote dawa bora kabisa ya meno kwa kila mwenye shida ya jino karibu sana .nb na daw...
17/09/2024

RAFA PRODUCTS tumewaletea wantanzania wote dawa bora kabisa ya meno kwa kila mwenye shida ya jino karibu sana .nb na dawa zingine pia zipo kwhyo ukiwa na tatzo lolote usisite kutupigia tukupe huduma bora kabisa

Wakwetu dealers tumerudi tena karibuni wateja unapata huduma mpaka unashangaa mwenyew
03/07/2024

Wakwetu dealers tumerudi tena karibuni wateja unapata huduma mpaka unashangaa mwenyew

Shirikisho la mpira wamiguu na bodi ya ligi kwa pamoja wamekubaliana kuusogeza mchezo Kati ya Simba na YANGA mpaka trh 3...
19/05/2021

Shirikisho la mpira wamiguu na bodi ya ligi kwa pamoja wamekubaliana kuusogeza mchezo Kati ya Simba na YANGA mpaka trh 3/7 kwaajili ya kusapoti mashujaa waliozaliwa trh hiyo kwahyo k**a wewe umezaliwa trh hiyo jipige kifua upambanaji wako umekubalika 😀😀😀😀😀😀

ACHA NIANDIKE KANENO KADOGO ILA KAGUMU NA HAKAWEZI KUTAMKWA MTU AKIWA NA AMANI MOYONI UZITO WAKE NI KWAMBA HUWEZI KUKATA...
18/03/2021

ACHA NIANDIKE KANENO KADOGO ILA KAGUMU NA HAKAWEZI KUTAMKWA MTU AKIWA NA AMANI MOYONI UZITO WAKE NI KWAMBA HUWEZI KUKATAMKA IKIWA MACHOZI HAYAKUTOKI MACHONI R.I.P RAIS WA AWAMU YA TANO JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI

18/03/2021

Ulitusaidia wengi na wengi hatujakusaidia wewe Kwa kujiaminisha kwamba wewe ni msaàda tu kwetu kumbe dunia tulikuachia moyoni mwako ukaumia peke yako hatujakutoa msumari moyoni na Leo umetuacha pumzika Kwa Amani MAGUFULI

18/03/2021

Wallah dunia si sehemu salama Kwa watu wema R.I.P MAGUFULI

13/03/2021

🏃🏃🏃🏃

13/03/2021

Vile tunavyowatisha wale wanakunjia maroho yao

10/03/2021

🏋️🏋️🏋️🏋️

Nan atakuwa wakwanza kuanzia tarehe 10/3/2021 kutakuwa na special offers Kwa wateja wetu watakao nunua computer desktop ...
07/03/2021

Nan atakuwa wakwanza kuanzia tarehe 10/3/2021 kutakuwa na special offers Kwa wateja wetu watakao nunua computer desktop ama laptop mpaka 10/3/2022 Atapata warranty ya matengenezo bure Kwa mwaka mzima mnakosaje ofa hii ya nguvu namna hii hebu tutembelee au tupigie simu utapata maelekezo mazuri Sana na utapata huduma Bora kuliko kawaida ndani ya mwaka mzima tunawapa hiyo offer mwambie na mwenzio kwamba maisha ya kujistress sasa basi tupo karibu nawe zaidi

06/03/2021

WAKWETU COMPUTER TUMEKUJA KIVINGINE KABISA KWA WATU WETU WA NGUVU HATUTAKI MTESEKE JIUNGENI KWENYE GROUP LETU LA WHATSSAP KADRI MUWEZAVYO MFURAHIE MAISHA MAANA HAPA UTAPATA HUDUMA ZOTE ZA COMPUTER KUNUNUA AU KUUZA POPOTE ULIPO TZ HII UNAIONAJE NA TUNATOA HUDUMA ZA UFUNDI WA COMPUTER,SIMU,N.K NI AINA ZOTE ZA COMPUTER NA SIMU KWA HUDUMA BORA KABISA TUCHEKI SISI TUKUPE SULUHISHO LA TATIZO LAKO HII NI ZAIDI YA ZAWADI KWENU WA TZ PIA KWA WALE WAFANYABIASHARA TUNATOA HUDUMA YA DELIVERY KWA WAONAOHITAJI KUNUNUA BIDHAA DSM UNAWEZA KUTUTUMIA SISI KUFANYA HIYO KAZI SIYO LAZIMA WEWE UJE HAPA UNAPATA FAIDA MARA DUFU UNAOKOA MDA NA GHARAMA YALE MAMBO YA KUFUNGA DUKA UJE UFATE MZIGO SASA TUMEYAPATIA SOLUTION KWA GHARAMA NAFUU KABISA UNAWEZA KUTUTUMA SISI KWA MAWASILIANO TUPIGIE
0746829176&0710116166 KUJIUNGA NA GROUP BURE BOFYA HIYO LINK UJIUNGE MOJA KWA MOJAhttps://chat.whatsapp.com/FFHbL1ifyU384RH6QPhPHO

Address

Kisemvule Pwani
Dar Es Salaam
MKURANGAPWANI

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Rama d hassani posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share