03/08/2022
Bado tunaendelea na Ofa za Nane Nane!
Tupigie simu: 0674 344 436
Nunua Mbao zenye dawa (treated) kwa bei za jumla na reja reja
Mbao zetu zimepikwa kwenye mtambo maalumu kwa dawa ya CCA.
Tunapokea Oda zote ikiwemo Oda za ujenzi wa Shule, Hosptal, Viwanda, Serikali na watu Binafsi.
Tunapatikana Buguruni Chama Dar es salaam.