TT Security CO. Ltd

TT Security CO. Ltd TT Security is a branch of Treatvet Co. Ltd registered in Tanzania to offer reliable security services in and outside the country

08/08/2024
09/03/2023

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI

Kampuni ya T T SECURITY iliyopo Dar es Salaam,
inapenda kuwatangazia nafasi za kazi ya ulinzi (security guard) kwa
vijana wote wenye utayari wa kufanya kazi ya ulinzi sehemu yoyote
ndani ya nchi ya Tanzania .

Vigezo anavyotakiwa kuzingatia mwombaji wa kazi ni:

1. Barua ya mwombaji au barua ya maombi ya kazi iliyoandikwa
kwa mkono.
2. Awe na elimu kuanzia darasa la saba na kuendelea ,
3. Awe anajua kusoma na kuandika kwa ufasaha.
4. Awe na afya njema na mkakamavu.
5. Awe na urefu wa futi 5.3 na kuendelea.
6. Awe na umri kuanzia miaka 18-35.
7. Mwombaji awe na uwezo wa kupata wadhamini wawili wenye
mali zisizohamishika.

Maombi yafikishwe makao makuu ya ofisi ya TT SECURITY
iliyopo Masaki karibu na ofisi za umoja wa mataifa (UN),
Kituo cha daladala ni FITNESS, kwa mawasiliano zaidi wasiliana na
ofisi kwa namba 0757096024, 0625597125 na simu ya ofisi 0684824406

Anuani:

MENEJA MWAJIRI
TT SECURITY
S.L.P 16561 DAR ES SALAAM

TT SECURITY WITH US “YOU ARE SECURED”

08/12/2022

TANGAZO LA KAZI
Nafasi /postion (01): Operation Manager.

Uongozi wa TT SECURITY kwa mara nyingine tena unawatangazia wafanyakazi wote wa TT SECURITY na nje ya TT Security nafasi ya kazi katika nafasi ya OPERATION MANAGER. Mfanyakazi yeyote wa TT Security na nje ya TT Security anakaribishwa kuwasilisha maombi yake kwa Mkurugenzi Mtendaji wa TT Security kuanzia tarehe 07/12/2022 hadi tarehe 25/12/2022.
Mwombaji anatakiwa kuwa na sifa zifuatazo;
1. Kwa mfanyakazi wa TT Security awe amefanyakazi kwa kipindi kisichopungua miezi 6 na kutoka nje ya TT Security awe na uzoefu usiopungua miaka 3 katika kazi ya ulinzi.
2. Awe na elimu kuanzia kidato cha nne na kuendelea
3. Awe mwenye uwezo wa kuwasiliana kwa lugha ya Kiswahili na kingereza kwa ufasaha.
4. Mwaminifu na mwenye nidhamu na bidi katika kazi.
5. Mwadilifu (asiyekuwa na kumbukumbu nyingi za makossa ya kinidhamu).
6. Mwenye lesseni na ujuzi wa kuendesha magari na pikipiki atapewa kipaumbele zaidi.
7. Mwombaji awe na wadhamini 3.

Barua za maombi ziletwe katika ofisi za TT SECURITY zilizopo masaki karibu na ofisi za umoja wa mataifa (UN).
Kituo cha daladala ni FITNESS.

Kwa anwani ifuatayo;
Meneja Mwajili,
TT Security,
s.l.p 16561,
Dar es Salaam.
Email: [email protected]

Kwa mawasiliano: 0746 518 605.
0684 824 406.

TANGAZO HILI LIMEHUISHWA NA UONGOZI WA TT SECURITY TAREHE 07/12/2022.

06/09/2022

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI

Kampuni ya TREATVET (T T SECURITY) iliyopo Dar es Salaam,
inapenda kuwatangazia nafasi za kazi ya ulinzi (security guard) kwa
vijana wote wenye utayari wa kufanya kazi ya ulinzi sehemu yoyote
ndani ya nchi ya Tanzania .

Vigezo anavyotakiwa kuzingatia mwombaji wa kazi ni:

1. Barua ya mwombaji au barua ya maombi ya kazi iliyoandikwa
kwa mkono.
2. Awe na elimu kuanzia darasa la saba nakuendelea ,
3. Awe anajua kusoma na kuandika kwa ufasaha.
4. Awe na afya njema na mkakamavu.
5. Awe na urefu wa futi 5.3 na kuendelea.
6. Awe na umri kuanzia miaka 18-35.
7. Mwombaji awe na uwezo wa kupata wadhamini wawili wenye
mali zisizohamishika.

Maombi yafikishwe makao makuu ya ofisi ya TT SECURITY
iliyopo Masaki karibu na ofisi za umoja wa mataifa (UN),
Kituo cha daladala ni FITNESS, kwa mawasiliano zaidi wasiliana na
ofisi kwa namba 0757096024, 0625597125na simu ya ofisi 0684824406

Anuani:

MENEJA MWAJIRI
TT SECURITY
S.L.P 16561 DAR ES SALAAM

TT SECURITY WITH US “YOU ARE SECURED”

12/03/2022

TANGAZO KWA UMMA

Kampuni ya ulinzi ya T T SECURITY inapenda kuwatangazia nafasi za kazi ya ulinzi (security guard) kwa vijana wote wenye utayari wa kufanya kazi ya ulinzi sehemu yoyote ndani ya nchi ya Tanzania .

Vigezo anavyotakiwa kuzingatia mwombaji wa kazi ni:
1. Barua ya mwombaji au barua ya maombi ya kazi iliyoandikwa kwa mkono.
2. Awe na elimu kuanzia darasa la saba nakuendelea ,
3. Awe anajua kusoma na kuandika kwa ufasaha.
4. Awe na afya njema na mkakamavu.
5. Awe na urefu wa futi 5.3 na kuendelea.
6. Awe na umri kuanzia miaka 18-35.
7. Mwombaji awe na uwezo wa kupata wadhamini wawili wenye mali zisizohamishika.

Maombi yafikishwe makao makuu ya ofisi ya TT SECURITY iliyopo Masaki karibu na ofisi za umoja wa mataifa (UN),
Kituo cha daladala ni FITNESS, kwa mawasiliano zaidi wasiliana na ofisi kwa namba 0788 817 071, 0746 518 605 na simu ya ofisi 0684 824 406.

NB:
Waliopitia mafunzo ya jeshi la kujenga Taifa (JKT) na Jeshi la akiba (MGAMBO) watapewa kipaumbele zaidi.

TT SECURITY WITH US YOU ARE SECURED

02/02/2021

TANGAZO, TANGAZO
Kampuni ya ulinzi ya T T SECURITY inapenda kuwatangazia nafasi za kazi ya ulinzi (security guard) kwa vijana wote wenye utayari wa kufanya kazi ya ulinzi sehemu yoyote ndani ya nchi ya Tanzania .
Vigezo anavyotakiwa kuzingatia mwombaji wa kazi ni;
1. Barua ya mwombaji au barua ya maombi ya kazi.
2. Awe na elimu kuanzia darasa la saba nakuendelea ,
3. Awe anajua kusoma na kuandika kwa ufasaha.
4. Awe na afya njema na mkakamavu.
5. Awe na urefu wa futi 5.3 na kuendelea.
6. Awe na umri kuanzia miaka 18-35.
7. Barua itumwe kwa meneja mwajili wa TT SECURITY sanduku la barua (s.l.p) 16561 Dar es salaam.
Maombi yafikishwe makao makuu ya ofisi ya TT SECURITY iliyopo Masaki karibu na ofisi za umoja wa mataifa (UN),
Kituo cha daladala ni FITNESS, kwa mawasiliano Zaidi wasiliana na ofisi kwa namba 0684824406 AU 0625618794.
NB: WANAOJUA KUSOMA, KUANDIKA NA KUONGEA LUGHA YA KINGEREZA WATAPEWA KIPAUMBELE.
TT SECURITY WITH US YOU ARE SECURED

Get secured with TT SECURITY.
17/12/2020

Get secured with TT SECURITY.

TT SECURITY,, Tupo imara na tupo tayari kutoa huduma ya ulinzi na usalama ndani ya TANZANIA , Tuna uhakika na huduma tun...
01/09/2020

TT SECURITY,, Tupo imara na tupo tayari kutoa huduma ya ulinzi na usalama ndani ya TANZANIA ,
Tuna uhakika na huduma tunazozitoa kwa wateja wetu kuwa ni bora na zinazolidhisha kutokana na utekelezaji wa majukumu tunayokabidhiwa na wateja wetu.. karibuni sana . Wasiliana nasi kupitia namba 0625597125

TT SECURITY PROVIDES GOOD AND QUALITY SERVICES TO ITS CUSTOMERS.WE ARE AVAILABLE 24 HOURS OF SERVICES. WELLCOME AND FEEL...
15/08/2020

TT SECURITY PROVIDES GOOD AND QUALITY SERVICES TO ITS CUSTOMERS.
WE ARE AVAILABLE 24 HOURS OF SERVICES. WELLCOME AND FEEL GREAT TO BE ONE OF OUR FAMILY.
TT SECURITY
WITH US YOU ARE SECURED.

Address

Masaki
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 13:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when TT Security CO. Ltd posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share