Linda Pesa Tanzania Limited

Linda Pesa Tanzania Limited Linda Pesa focuses on small businesses by empowering how they manage their businesses nad get profit.

Wenye MABUTCHER YA NYAMA tumewafikiaKupitia Linda Pesa APP, unaweza kurecordmauzo yako ya nyama kwenye mfumo huukwa njia...
02/09/2024

Wenye MABUTCHER YA NYAMA tumewafikia
Kupitia Linda Pesa APP, unaweza kurecord
mauzo yako ya nyama kwenye mfumo huu
kwa njia ya kilo 1, Nusu Kilo nk
Uwe unauza Nyama ya Ng'ombe, kuku, Samaki
Kitimoto au Mbuzi Linda Pesa APP haina
mbambamba
Kwa maelezo zaidi tupigie kupitia
0768 666 340

Je unataka uwe unawakumbusha wapangaji wako kulipa kodi ya nyumba yako, frame zako?Au unamiliki apartments za kibiashara...
06/08/2024

Je unataka uwe unawakumbusha wapangaji
wako kulipa kodi ya nyumba yako, frame zako?
Au unamiliki apartments za kibiashara na
unataka kuwatumia wapangaji wako invoice za
malipo automatic?
K**a ni ndio Linda Pesa RealEstate APP
ipo kwaajili ya kukufanikisha ilo, sio ilo tu
Unaweza kuona gharama zako za maintanance
unazozifanya kwenye nyumba zako
Unaweza kubashiri faida utakayo ipata miezi ya mbeleni
Pamoja na mengine Mengi, utayapata ndani ya APP hii
Kwa maelezo zaidi ya namna ya kupata hudum ya APP hii
Tupigie kupitia simu namba: 0748 711 700

Tunakutakia Mweziwa Mafanikio kwenye Biashara yako,Endelea kutumia Linda Pesa APPKusimamia biashara yako KikamilifuInapa...
01/08/2024

Tunakutakia Mwezi
wa Mafanikio kwenye Biashara yako,
Endelea kutumia Linda Pesa APP
Kusimamia biashara yako Kikamilifu
Inapatikana Play Store na APP Store
Wasiliana nasi: 0748 711 700

Kuelekea wiki ya sabasabaKwa wadau wetu na wafanyabiasharatunapenda mfahamu kuwa tutakuwepoKARUME HALL, kuwahudumia.Kuji...
24/06/2024

Kuelekea wiki ya sabasaba
Kwa wadau wetu na wafanyabiashara
tunapenda mfahamu kuwa tutakuwepo
KARUME HALL, kuwahudumia.
Kujibu maswali yenu na kukupa muongozo
wa namna ya kutumia bidhaa zetu
Linda Pesa APP - Kwa wafanyabiashara mbalimbali
Linda Pesa Real Estate APP - Kwa wamiliki wa Nyumba za biashara na makazi
Karibu sana
Kwa Maelezo zaidi tupigie: 0748 711 700

Diving into Pesatech Accelerator 2 - Workshop 2 at ANZA Entrepreneurs Dar es salaam Office We had an opportunity to disc...
29/05/2024

Diving into Pesatech Accelerator 2 - Workshop 2 at ANZA Entrepreneurs Dar es salaam Office
We had an opportunity to discuss and learn about different topics related to value propositions to our clients as well as positioning our product to fit the needs that solve customers challenges.
It was an eye opening session to our team

Maana ya haraka ya neno HASARA kwa mfanyabiashara ni kutokupata FAIDAZipo sababu kadha wa kadha ambazo mtu anaweza pata ...
27/05/2024

Maana ya haraka ya neno HASARA kwa mfanyabiashara ni kutokupata FAIDA
Zipo sababu kadha wa kadha ambazo mtu anaweza pata Hasara,
kuna zile zinaweza epukika na kuna zile ambazo haziwezi epukika
Mfano, majanga ya asili (tetemeko la ardhi), kubadilika kwa sheria za nchi nk
Lakini leo tuangalie sababu zinazoweza kuepukika
1. Kuto kuwa na taarifa au record sahihi za Biashara yako k**a: mauzo, matumizi na mzigo.
2. Kuacha mtu mwingine asimamie na wewe kujua biashara yako juu juu
Kuruhusu wafanyakazi wako kujua FAIDA UNAYO IPATA.
3. Matumizi mabaya ya fedha za biashara.
4. Kufanya maamuzi makubwa au madogo kwa kuiga nasi kutumia taarifa za biashara yako, Mfano kukopa, kufungua tawi jingine nk.
Sasa namna sahihi ya kuepuka hasara zinazoweza kuepukika ni Pamoja na kutumia, mfumo wa kidigital katika kusimamia bishara yako. Hii tunaita jiwe moja linaua ndege 5
Je unataka kufahamu namna gani mfumo wa kidigitali k**a unaweza, kuzuia hasara zinazoweza kuepukika?
Tuandikie swali kwenye comment au tupigie 0748 711 700
Pia unaweza ipakua play Store au App Store

Happy Labor Day! Wishing you a well-deserved break and a chance to celebrate the hard work and dedication that keeps our...
01/05/2024

Happy Labor Day!
Wishing you a well-deserved break and
a chance to celebrate the hard work and
dedication that keeps our world moving forward.
Enjoy your day!

On this Union Day, we extend our warmest wishes toall the clients, workers, and fellow Tanzanians!May this day be filled...
26/04/2024

On this Union Day, we extend our warmest wishes to
all the clients, workers, and fellow Tanzanians!
May this day be filled with joy, unity, and prosperity as
we celebrate the bond that unites us all.
Happy Union Day to everyone!

LINDA PESA TANZANIA LIMITED is Wishing you and your loved ones a joyous Eid al-Fitr!May this special day bring you peace...
10/04/2024

LINDA PESA TANZANIA LIMITED is Wishing you and your loved ones a joyous Eid al-Fitr!
May this special day bring you peace, happiness, and countless blessings. Eid Mubarak! ✨

Wishing you all the best in this new monthHappy Easter Everyone
01/04/2024

Wishing you all the best in this new month
Happy Easter Everyone

Revolutionize your business finances! 🚀💰🛒Unlock unprecedented savings by mastering expense tracking.Maximize profits, mi...
26/02/2024

Revolutionize your business finances! 🚀💰🛒
Unlock unprecedented savings by mastering expense tracking.
Maximize profits, minimize costs! Ready to elevate your bottom line?
Contact us today at +255 748 711 700.
Let's optimize your success journey! 📈 ✨

Address

Morocco, Kawawa Road
Dar Es Salaam
0000

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00

Telephone

+255748711700

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Linda Pesa Tanzania Limited posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Linda Pesa Tanzania Limited:

Share