13/10/2026
Umechoka Kuhangaika na chunusi na unataka kufahamu jinsi gani utaona matokeo ndani ya siku 28 hadi siku 90? Soma hapa hadi mwisho👇👇👇
Jee utaona nini?
Siku ya 1 hadi Siku 28: Utaona sura inakua laini, chunusi zinaweza kuzidi kutoka hii inaitwa purging yani ndio chunusi zinavyoisha inabidi zitoke zote. Hapa ndio wengi wanataka tamaa wewe usiache kutumia na usitumbue...
Siku ya 29 hadi Siku 59: Chunusi zinaanza kukauka zote, utaanza kupokea sifa kwa watu wako wa karibu kwamba ngozi imeanza kuwa vizuri. Usiache uendelee...
Siku ya 60 hadi Siku ya 90: Chunusi zimekauka, yanabaki madoa hapa sasa unatakiwa kuongeza bidii ya kutumia usije ukaacha au kufanya uvivu. Na usiku lazima ufatishe maelekezo yako.
Kufikia siku ya 90: Chunusi nyingi k**a mvua zinaisha, zinaacha kutoka, ngozi ina mng'ao mzuri, utafurahia muonekano wako.
Jee utatumia Serum ngapi?
Kawaida Serum moja utatumia ndani ya mwezi 1 inakuwa imeisha, hivyo utatumia serum 3 hadi serum 4 k**a una chunusi sugu sana.
Nini cha Kufanya baada ya chunusi zote kuisha?
Usiache skin care moja kwa moja hatua inayofata ni kufanya maintenance, yaani kutunza matokeo yako tusije kurudi ulikotoka. ambapo hapa tunachofanya mteja anatutumia sura yake tunamshauri cha kuendelea kutumia k**a ni ya kugloo au age goo. Hatua hii unakuwa tayari, chunusi zimeisha inabidi uwe na kitu cha kukusaidia kutunza matokeo yako na hivyo vyote tunavyo tutakushauri cha kufanya, Muhimu tu ufatishe maelekezo!
Serum ya chunusi Tunauza 100,000/=. Sabuni yake 10,000/= na Sunscreen yake 30,000/=. Ukishanunua tunakupa maelekezo.
Usinunue hii k**a una aleji ya nuts na samaki (ipo ya wenye aleji utuambie) na k**a umewahi kutumia mkorogo na vitubu wewe ipo ya kwako sio hii.
Wasiliana nasi Dar delivery ipo na Mkoani.
Kuweka ODA Dukani: 0688420201