Fursa_Ya_Biashara

Fursa_Ya_Biashara Kwa Mawasiliano Zaidi Tupigie

0692695406.

0742000792

02/08/2023
02/08/2023
Je, Mshahara wako haukidhi mahitaji yako na ya familia?Je, umemua kujiinua kiuchumi?Je, yawezekana pia Una Ndoto Kubwa? ...
02/08/2023

Je, Mshahara wako haukidhi mahitaji yako na ya familia?

Je, umemua kujiinua kiuchumi?

Je, yawezekana pia Una Ndoto Kubwa?

Je, Kazi uliyonayo sasa una asilimia ngapi kuwa ndoto itatimia kupitia unacho fanya?

Je, yawezekana wewe ni mwajiriwa na unatafuta njia kuanzisha biashara yako na hujui ufanye nini?

Je, ww ni mwanafunzi na ungependa kujiingizia kipato uku unaendelea na masomo yako.?

Ikiwa hutumii Muda wako vizuri baada ya kutoka kwa mwajiri wako Itakua ngumu kufanikiwa kwenye biashara…

*karibu_tukufundishe_namna_ya_kutumia_Muda_wako_wa_ziada_na_kuanzisha_biashara_kubwa_bila_kuathiri_shughuli_zako_za_kila_siku*
Njoo ujifunze kutoka kwa wajasiriamali waliofanikiwa..

OFA HII NI KWA WATU 15 TU AMBAO NATAKA NIWAFUNDISHE BIASHARA KUBWA KW MTAJI MDOGO

MAFUNZO HAYO NI BURE KABISA…!

KUWAHI OFA HII PIGA SIMU NAMBA

0692695406

AU BONYEZA NENO WhatsApp HAPO CHINI

Mifumo mingi ya biashara au kazi imekua sio rafiki kwa watu wengi, hivyo kupelekea wengi kutofanikiwa kwa kiwango wanach...
02/08/2023

Mifumo mingi ya biashara au kazi imekua sio rafiki kwa watu wengi, hivyo kupelekea wengi kutofanikiwa kwa kiwango wanachotamani.

Biashara nyingi za maana zinahitaji mtaji mkubwa.
Zinahitaji kuwepo muda wote
Zinahitaji usimamizi wa maana
Zinahitaji watenda kazi wanaojua nini wanafanya

Kutokana na Hali hizi na nyingine nyingi imepekelea biashara nyingine kufeli na nyingine kufa kabisa.

Habari njema ni kuwa upo mfumo ambao unamwezesha mtu yeyote kufanikiwa bila kujali yupo katika hali gani.

Mfumo huu utakufundisha
Kuuza
Kujiamini
Kutoishia njiani
Kujenga timu.
Hivyo Tumeanda semina utafundishwa Namna mfumo huu unavyofanya kazi na namna unavyoweza kuanza biashara kupitia mfumo huu

Semina itafanyika
SINZA AFRIKASANA
UKUMBI:NGOME HOUSE
05/08/2023
7:30 MCHANA
11:00 JIONI

KUSHILIKI SEMINA HIYO WASILINA NAMI 0692695406/ 0742000792 ili uweze kujipatia tiketi

Semina ni BURE ni watu 120 tu.

*Maarifa ndiyo mtaji wakwanza kwenye Biashara..*

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Fursa_Ya_Biashara posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share