04/10/2023
https://chat.whatsapp.com/KshCMms5ylXBLNjviAdp4A
TIGO POSTPAID (LIPIA BAADA YA MATUMIZI)
[1]. TIGO POSTPAID ni Nini? "Post-Paid" - "Lipa Baada."
Ni huduma inayoruhusu watumiaji wa:-
1️⃣INTERNET au
2️⃣ Muda wa maongezi na internet (COMBO)
Kupata BANDO na kulipa baada ya matumizi yao (Mwisho wa Mwezi)
Je, Huduma hii Utaipata wapi?
Ukihitaji hata leo (Sasaivi),
Unaweza kuunganishwa na kuipata?
Naweza Kukusaidia 100% Ni-check tu hapa👇
0712152214
Kwa Mteja Mpya,
Kuunganishwa na huduma ya
TIGO POSTPAID: NI LAZIMA UWE NA
1️⃣ Laini ya TIGO / ZANTEL
2️⃣TIN Certificate , au Kitambulisho chako
(NIDA/MPIGA KURA/LESENI)
3️⃣ PESA ya "SECURITY DEPOSIT"
(Kiasi ni sawa na PACKAGE uliyochagua)
Ukiwa na hivyo vitu Utaweza kuhudumiwa na kuunganishwa kupitia ONLINE DATA SELLER AGENT (D.S.A),
(Hapa ni kuwa makini sana)
Tuma taarifa zako✅️,
-MAJINA
-NAMBA YA SIMU
-Pesa yako ya SECURITY DEPOSIT
(Ntakuelekeza namna ya kulipia)
: MCHAKATO mzima!
Baada ya Mteja Kufanya Malipo ya "SECURITY DEPOSIT"
Kinachofuata ni 👇
1️⃣ Kujaza Fomu ya Mteja (D.S.A)
2️⃣Uhakiki wa Taarifa (MTEJA)
3️⃣Activation & Pokea BANDO lako
Binafsi nakushauri kwanza jitafakari MATUMIZI na BAJETI yako! Wengi huanza na PLAN ya
15,000/= Baada ya kunogewa Hutaka KUHAMISHWA PLAN😁
Plan ya 30,000/= hii ndo wanatumia watu wengi sana!
KUUNGANISHWA ONLINE.....
Kwangu mimi utahitajika kunitumia vitu vifuatavyo:-
1️⃣Majina yako
2️⃣Namba yako inayounganishwa huduma
3️⃣Taja ni PLAN gani unahitaji
mfano:-
30,000/= DATA PLAN
100,000/= COMBO PLAN
Baada ya Kuunganishwa! Na kumaliza kila kitu! 💯🔥
Inapofika muda wa kulipa BILL yako (Mwisho wa Mwezi)
🚫USITUME PESA KWA MTU
LIPIA MWENYEWE KWENDA "TIGO" Kwa Kufuata UTARATIBU .👇
KWA HATUA!
Baada ya Hapo,UMEMALIZA✅️
TIGO POSTPAID ni MKOMBOZI kwa watumiaji wakubwa wa INTERNET
-Freelancers/ Wanachuo / Ofisi n.k
Jiunge na TIGO POSTPAID leo na ufaidike!
KWA MAELEZO ZAIDI PIGA SIMU
0712152214
AU JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP KUPITIA LINK