Amua kufanikiwa

Amua kufanikiwa MAFUNZO YA BIASHARA BURE

Huu ujumbe ni wa muhimu mno…kuna Watu unawaambia wafanye hii Biashara hawafanyi wanategemea Kazi walizonazo…maybe una ms...
18/07/2022

Huu ujumbe ni wa muhimu mno…
kuna Watu unawaambia wafanye hii Biashara hawafanyi wanategemea Kazi walizonazo…maybe una mshahara mkubwa sana..maybe una Mume anayekupa kila kitu…maybe una wazazi matajiri anawaza jinsi utakavyorithi hizo mali…wengine unakuta anategemea boyfriend aliyenaye…anamuhudumia kwa kila kitu..
My friend chimba kisima kabla kiu haijakupata hujui Kesho itakuwaje
Huna uhakika Sana K**a hiyo Kazi unayoitegemea mnoo kesho itakuwepo..tumeona Watu wengi sana wakipoteza kazi zao tena ghalfa…
Huyo Mume uliyenaye (hatuoembei mabaya)Ila hujui lini Mungu atamuita..jipange mapema
Chochote kile unachotegemea Sana hujui lini kitaondoka..
Anza hii Biashara leo…fanya hii Biashara serious..hata ukipoteza Kazi yako…usiwe na pressure..utakuwa na source nyingine ya kukuingizia kipato..
Chimba kisima kabla kiu hakijakupata..
Whatsap neno Biashara kwenda 0658888160..nikuonyeshe namna ya kuchimba kisima leo

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Amua kufanikiwa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share