02/11/2026
Mteja amekupata kwenye BiZSearchAfricA, lakini haoni namba ya kukupigia wala WhatsApp ya kukutumia message. 🤷🏾♂️
Check profile yako kwenye app leo, hakikisha namba na WhatsApp yako zinaonekana. Usipoteze mteja kwa kitu kidogo. 📲