05/12/2021
SOMA KWA MAKINI πππππ
KIJANA, MWAJIRIWA, MWANACHUO UNAYEJITAMBUA. SOMA HAPA,,
Usishangae mwezi ndo unaisha hivyo hadi sasa hauna biashara inayokupatia kitu cha ziada nje ya kula na kodi ya chumba. Aisee haukuletwa duniani ili uje kupambania kula. Huwa nasema hiki kitu, hautoweza kukua kiuchumi k**a haujaamua kufanya maamuzi tofauti na ulivyozoea.
Changamoto zipo na zitaendelea kuwepo kila mwezi, usipokuwa makini huu mwaka utakupita k**a ilivyokupita miaka mingine. Hakuna mtu atayekusisitiza chochote hadi pale akili yako itapoamua. Utasogeza mbele malengo hadi uzeeni.
K**a wewe hauna ajira ifanye biashara kwa usirias k**a sehem ya ajira yako itakulipa vzuri.
K**a wewe mwanachuo , tumia mkopo wako kuwekeza kwenye biashara, utakuja kujua umuhim wa hayo maamuz ukishamaliza chuo. Umuhim wa hilo bumu utaujua utavyoingia mtaani, utajuta kutowekeza kwenye biashara. Jaribu kuwauliza waliokutangulia wakusimulie maisha yalivyo acha kujidanganya kwa muda mfupi wa mapito ya chuo. K**a unashindwa kuiandaa future yako soon baada ya kumaliza chuo.Je! unafikiri utaweza kuijenga future ya maisha ya mbeleni?
K**a wewe ni mwajiriwa, ujiendekeze madeni utakufa maskini. Unakuwa na madeni mengi sababu hauna project nyengine nje ya ajira yako. Na hii tabia uliijenga chuoni haukuwa na time ya kufanya mradi mwingine zaidi ya kujisomea ili upate marks nzuri darasani. Pasipokujua k**a muda ulikuwanao lakini uliendekeza ubize usio na ulazima. Sasa hauna maarifa mengine nje ya ajira uliyosomea. Na madeni yanakusulubu. Badilika,,,,
Usipoamua kuwa tofauti kuanzia sasa, usipoamua kuacha kutanguliza changamoto mbele mbele hautobadilika kwa lolote. Utakula, utavaa, utalala k**a wafanyavyo wengine, lakin maendeleo utayaona kwenye TV tuu. Grow up,,,,,,,,
Kwa MAARIFA ya Biashara tuma ujumbe neno BIASHARA GROUP kwenda wassap
+255742008782 usaidiwe mapema.