23/12/2021
Nina Jambo leo kwako rafiki angu, mama angu, baba angu ,, Nini malengo yako ya mwaka mpya tunaouanza???
Malengo uliyokuwa umeweka mwaka huu kuna hata moja lililokamilika???
Na k**a halijakamilika unadhani ni kwann??