13/07/2023
Kucheza Bahati ni Simpo, Fanya Hivi..
Cheza kupitia mtandao wowote wa simu kupitia namba ya kampuni 000007.
Namna ya kucheza BAHATI kupitia Mtandao wa VODACOM, TIGO na HALOTEL
HATUA 1. Bonyeza menu yako ya malipo
HATUA 2. Chagua LIpia Bili
HATUA 3. Weka namba ya kampuni 000007(GAMA GAMING)
HATUA 4. Ingiza namba ya kumbukumbu BAHATI AU 1234
HATUA 5. Weka kiasi 1000, 2000 au 5000
HATUA 6. Ingiza namba ya SIRI
HATUA 7. Bonyeza 1 kuthibitisha MUAMALA.
Kwa wadau wa AIRTEL cheza kiulaini kwa kufuata hatua hizi:
HATUA 1. Bonyeza menu yako ya malipo
HATUA 2. Chagua LIpia Bili (5)
HATUA 3. Chagua Bahati Nasibu (6) kisha chagua namba 24 GAMA GAMING...Baada ya Bahati nasibu , zitakuja orodha nyingi, utachagua namba 24, Gama Gaming. Kisha utaendelea na hatua nyingine.
HATUA 4. Ingiza kiasi 1000, 2000 au 5000
HATUA 5. Weka kumbukumbu namba (1234)
HATUA 6. Bonyeza 1 kuthibitisha MUAMALA.
HATUA 7. Ingiza namba ya SIRI.
**atabahatiyako !!