19/09/2022
ONYESHA UPENDO KWA FAMILIA,NDUGU NA RAFIKI
PICHA MBAO
✅NI zawadi nzuri kwa uwapendao
✅Hupendezesha nyumba
✅Ni Njia ya Kisasa ya kutunza kumbukumbu ya picha
✅Zinadumu kwa muda mrefu
✅Zinaukubwa tofautitofauti
Kwa Mahitaji na Maelezo zaidi wasiliana nasi
0714677679
Tunapatikana Dar es salaam na Morogoro