Emmanuel Mindset

Emmanuel Mindset Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Emmanuel Mindset, Business Center, ilala boma, Dar es Salaam.

19/09/2023

Wasiliana nasi 0766222708

Business Center

"Tatizo la Afya ya Akili kwa sasa ni janga kubwa sana duniani. Na tusipokuwa makini dunia hii itakuwa mahali hatari sana...
19/07/2023

"Tatizo la Afya ya Akili kwa sasa ni janga kubwa sana duniani. Na tusipokuwa makini dunia hii itakuwa mahali hatari sana pakuishi"

Wengi wamefanya maamuzi ambayo ukichunguza kiundani unagundua ni Tatizo la akili.

Sasa tutakuwa na darasa ambalo litasimamiwa na kuendeshwa na mtaalamu wa akili Dr. Deo Sukambi

Darasa hili litafanyika tarehe: 20/8/2023 pale Ilala-Boma jengo la mwalimu House.

THIBITISHA USHIRIKI KWA SIMU NAMBA 0766 222 708. KIINGILIO TSHS 25,000/= NAFASI ZIMEBAKI CHACHE.

Usiogope Kuonekana MjingaAmini Ndoto Yako
16/01/2023

Usiogope Kuonekana Mjinga

Amini Ndoto Yako

28/11/2022

In mind

MOVEMENT (+255 766 222 708)

WANAFUNZI WA VYUO WANA CHANGAMOTO YA KESHO ZAO

MIAKA YOTE WANASOMA ELIMU AMBAYO HAWAFANYI WAJITEGEMEE INAWAFANYA WAWE TEGEMEZI GHAFLA WANAAMBIWA WAJIAJIRI ILA UKWELI NI KWAMBA SKILLS ZINAZOHOTAJIKA KUJIAJIRI HAWAJAFUNDISHWI NA HAWAJUI WAFANYEJE

Ungana nami katika kufundisha skills zinazotakiwa kufanikiwa duniani kwa vitendo katika GRADUATE WITH PLAN B IN MIND MOVEMENT

We tap into your future!!!

SKILLS ZA KUJIAJIRI NI
1:SELLS(KUUZA)
2:CONFIDENCE(KUJIAMINI)
3:TEAM BUILDING(KUJENGA TIMU)
4:COMMUNICATION(KUJIELEZEA NA UKAELEWEKA KWA WENGINE)
5:RECRUITING(KUJOIN WATU KWENYE MOVEMENT YAKO)
6:GOAL SETTING(KUWEKA MALENGO)
7:VISION(KUKUZA MAONO YAKO)
8:DREAM CASTING(KUIJUA NA KUIFUATA NDOTO YAKO)

(Hongera Sana Kwa kumaliza Chuo Huku Mkiwa mmetengeza Mkondo Wa Kipato Endelevu Ni Baraka Sana) Ukiwa Na Mtazamo Wa Kimaskini Fursa Ijapopita Mbele Yako Huwezi Kuiona Nakuombea Macho Ya Rohoni Yaone Kesho Yako.

KWELI ELIMU NINUFUNGUO WA MAISHA SWALI JE NI ELIMU GANI HASA INAYOONGELEWA HAPO???????????
EMMANUEL: (+255 766 222 708)

BLOCK, DELETE, UNFRIEND, UNFOLLOW. IT'S THAT SIMPLE. YOU CAN CONTROL WHAT YOU ALLOW. PROTECT YOUR ENERGY
07/11/2022

BLOCK, DELETE, UNFRIEND, UNFOLLOW.

IT'S THAT SIMPLE. YOU CAN CONTROL WHAT YOU ALLOW. PROTECT YOUR ENERGY

Wakati mwingne kwenye maisha ili ufike mbali haina budi kuacha mizigo inayo kuelemea ili uruke mbali zaidi, kumbuka kuwa...
07/10/2022

Wakati mwingne kwenye maisha ili ufike mbali haina budi kuacha mizigo inayo kuelemea ili uruke mbali zaidi, kumbuka kuwa kuna maarifa mapya kwenye maisha yako unayahitaji ili Uweze kufika kule unakotaka kufika watu wengi hawapendi kujifunza hawapendi kuwaachia marafiki walionao na kutafuta marafiki walio chanya zaidi yao ikiwa unaamini kuwa ukitembea na mwizi na wewe unakua mwizi bac jibu unalo wakatisha na tamaa ni wengi kuliko wanaokutia moyo na kukupa hamasa kwenye ndoto uliyonayo badili mtazamo, MUNGU Aliumba mwanadamu Ila Hakuumba maskini wala Tajiri Hilo na chaguo lako wewe mtazamo,maamuzi,Hatua ndio zitaamua wewe unakua nani Hapo Kesho. +255 766 222 708

Tajiri zaidi nchini China alisema, "Ikiwa utaweka ndizi na pesa mbele ya nyani, nyani atachagua ndizi kwa sababu nyani h...
03/10/2022

Tajiri zaidi nchini China alisema, "Ikiwa utaweka ndizi na pesa mbele ya nyani, nyani atachagua ndizi kwa sababu nyani hawajui kuwa pesa zinaweza kununua ndizi nyingi.

Kwa kweli, ikiwa utatoa KAZI na BIASHARA kwa watu, watachagua KUFANYA KAZI kwa sababu watu wengi hawajui kuwa BIASHARA inaweza kupata PESA zaidi kuliko mshahara.

Sababu moja wapo masikini ni masikini ni kwa sababu masikini hawajafundishwa kutambua fursa ya ujasiriamali.

Wanatumia muda mwingi shuleni na wanachojifunza shuleni ni kufanya kazi kwa mshahara badala ya kujifanyia kazi.

Faida ni bora kuliko mshahara kwa sababu mshahara unaweza kukusaidia, lakini faida inaweza kukufanya utajiri. Call (0766222708)

MAONI YAKO NI YAPI? Comment,Like,share

Hawa ni Wanawake Ambao Wamevishinda Visingio Na Kuamua Kumiliki Biashara Zao Na Kupata UHURU, Wanawake Wengi Wana Changa...
24/09/2022

Hawa ni Wanawake Ambao Wamevishinda Visingio Na Kuamua Kumiliki Biashara Zao Na Kupata UHURU, Wanawake Wengi Wana Changamoto Kubwa Sana Katika UHURU Wao Yawezekana Kwenye NDOA,AJIRA,KIPATO Wamejikuta Wapo Kwenye Utumwa Ambao Sio Rahisi Kujitoa Huo Unaitwa Utumwa Wa kimkakati Ili Uweze Kupata UHURU Wewe Mwanamke Unaepitia Hii Changamoto Huna Budi Kumiki Biashara Yako Ikiwa Hujui Ni Biashara Gani Ambayo Unaweza Kuisimamia Bila Kuathiri Shughuli Zako Za Kila Siku Usisite Kunipigia Simu Nikuelimishe. ( 0766 222 708 ) Napatika DAR ES SALAAM MR.EMMANUEL

*MAKADIRIO IDADI YA VIJANA WANAOINGIA KTK AJIRA KILA MWAKA*Benki ya Dunia (WB) inakadiria vijana wapatao 800,000 huingia...
24/04/2022

*MAKADIRIO IDADI YA VIJANA WANAOINGIA KTK AJIRA KILA MWAKA*

Benki ya Dunia (WB) inakadiria vijana wapatao 800,000 huingia katika soko la ajira Tanzania kila mwaka lakini ni takriban asilimia 10 tu ndiyo hufanikiwa kupata kazi.

% 10 ya 800,000 ni 80,000!

Vijana 720,000 huwa wanakwenda wapi kila Mwaka?

Kijana ukimaliza Chuo Ukakosa Ajira Utafanya nini????

Tafakari tatizo la ajira sio Tanzania pekee ni la duniani kote kuwa tayari kupambana na soko la ajira anza leo kupambana Kuiandaa kesho yako karibu kwenye itakayokusaidia kufahamu Biashara sahihi ya kufanya kila siku ya ALHAMISI Mawasiliano piga 0766 222 708.

05/04/2022
01/04/2022

🗿TUNAHITAJI WATU WANAO JITEGEMEA
1.KIMAWAZO 🤔
2.KIFEDHA 💰

Je? Una Ndoto Kubwa

Je? Unahitaji kuongeza Kipato Chako Zaidi

Je? Hujarizika Na Mafanikio Yako Uliyonayo

Je? Umefanya Biashara Nyingi Bila Mafanikio?

Je? Una Elimu Yeyote Kuhusu Huduma Za Kiafya

Je? Mshahara wako haukidhi mahitaji yako na ya familia
Basi amua sasa kujiinua kiuchumi

Yawezekana pia Una Ndoto Kubwa Je? Kazi uliyonayo sasa una asilimia ngapi kuwa ndoto yako itatimia kupitia unacho fanya sasa.

Yawezekana wewe ni mwajiriwa na unatafuta njia kuanzisha biashara yako na hujui ufanye nini Ikiwa hutumii Muda wako vizuri baada ya kutoka kwa mwajiri wako Itakua ngumu kufanikiwa kwenye biashara karibu tukufundishe namna ya kutumia Muda wako wa ziada na kuanzisha biashara kubwa bila kuathiri shughuli zako za kila siku.

Tarehe 7-4-2022 Tutakua Na Seminar Kubwa Sana Ya Kijasiriamali Mgeni Wetu Rasma Na Mkufunzi Ni Joel Nanauka Karibu Ujue Biashara Itakayo Kutambulisha KIMATAIFA Na Kutengeza Kipato Endelevu Na Kutimiza Ndoto Zako.

Kwa mawasiliano zaidi piga simu kupata maelezo zaidi (0766 222 708)

TIKETI ZIMEBAKI (30) BADO HUJACHELEWA🙏

Business Center

Je? Una Ndoto KubwaJe? Unahitaji kuongeza Kipato Chako ZaidiJe? Hujarizika Na Mafanikio Yako UliyonayoJe? Umemaliza chuo...
23/03/2022

Je? Una Ndoto Kubwa

Je? Unahitaji kuongeza Kipato Chako Zaidi

Je? Hujarizika Na Mafanikio Yako Uliyonayo

Je? Umemaliza chuo na huna kazi na hujui ufanye nini?

Je? Wewe ni mama wa nyumbani unahitaji kujiajiri

Je? Mshahara wako haukidhi mahitaji yako na ya familia
Basi amua sasa kujiinua kiuchumi

Yawezekana pia Una Ndoto Kubwa Je? Kazi uliyonayo sasa una asilimia ngapi kuwa ndoto yako itatimia kupitia unacho fanya sasa.

Yawezekana wewe ni mwajiriwa na unatafuta njia kuanzisha biashara yako na hujui ufanye nini Ikiwa hutumii Muda wako vizuri baada ya kutoka kwa mwajiri wako Itakua ngumu kufanikiwa kwenye biashara karibu tukufundishe namna ya kutumia Muda wako wa ziada na kuanzisha biashara kubwa bila kuathiri shughuli zako za kila siku.

Kwa mawasiliano zaidi piga simu kupata maelezo zaidi (0766 222 708)

Address

Ilala Boma
Dar Es Salaam

Telephone

+255766222708

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Emmanuel Mindset posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share