15/10/2022
NI SAWA NA BURE!!!!!
Karibu kiwandani kwetu Taishan mabati technology (T) ltd
TUPIGIE SIMU 0782 139 448
Karibu Ujipatie mabati kwa bei ya Ofa ya punguzo kubwa la bei kwa 12%
Mabati yetu ni imara na yanadumu kwa muda mrefu bila kupauka Wala kupata kutu kwani utapata WARRANTY ya Miaka 10.
Warranty yetu tutakupatia kwa maandishi maalum k**a mkataba wetu na mteja na imeunganishwa kimfumo na nyanja za serikali zinazo husiana na ubora wa bidhaa k**a ikiwemo TBS
TUPIGIE SIMU 0782 139 448
Tunatoa Ofa na zawadi mbalimbali kwa wateja wetu k**a
✅ Usafiri Bure mpaka site
✅ Misumari ya Bure
✅ Kofia za Bure
✅ Valley za Bure