grace_na _fursa

grace_na _fursa Nawasaidia wafanyakazi wa maofisini kupata kipato cha ziada bila kuvuruga ratiba ya ofisi

29/07/2025

68.1K likes, 677 comments. Check out boniphace’s video.

HONGERAAA SANAAA QUEEN MALUGU KWA STEP YA ONE RUBY DIRECTOR…IMAGINE KUTOKA KWENYE MSHAHARA WA 120000…KUTOKA KWENYE MAISH...
05/09/2023

HONGERAAA SANAAA QUEEN MALUGU KWA STEP YA ONE RUBY DIRECTOR…IMAGINE KUTOKA KWENYE MSHAHARA WA 120000…KUTOKA KWENYE MAISHA MAGUMU SANAAAA…IMAGINE QUEEN ALIKUWA AMEPANGA NYUMBA YA 30000 LEO HII ANAISHI KWENYE APPARTMENT YA MIL1 KWA MWEZI…AMEWEZA KUJENGA BIASHARA KUBWA SANAAA..UPCOMING PRESIDENT TEAM MEMBER…Keep going my bby..MAMBO YANAUNGUZAAA SANAAA…RUBY ORIENTATION HYOOOO…DIAMOND LIFESTYLE INAKUSUBIRI✈️✈️✈️✈️✈️✈️✈️✈️✈️✈️

HONGERA SANA MADAM KAGE KWA STEP YAKO HII KUBWA..imagine umeajiriwa kwa muda wako wa ziada unafanya hii biashara…UMEKUWA...
05/09/2023

HONGERA SANA MADAM KAGE KWA STEP YAKO HII KUBWA..imagine umeajiriwa kwa muda wako wa ziada unafanya hii biashara…UMEKUWA MSIKIVU SANAA..MCHAPAKAZI SANAA…wakati waajiriwa wengine wanahangaika na mikopo,wanahangaika na kusubiri mshahara..WEWE UPO UNAJENGA SYSTEM..unajenga biashara ambayo hata siku moja ukistaafu utakuwa na maisha ya tofauti sanaaa…MBALI NA PESA UNAZOTENGENEZA MADAM TUNAENDA WOTE Mauritius..IMAGINE FOR VACATION…hautahitaji kuandaa ripoti..ni kupumzikaaa tu..!HAYA NDIO MAISHA ULIYOYACHAGUA…na badoooo nakuona mbali sana

HONGERA SANA KAZINZA…mwalimu uliyeamua kufanya mambo makubwa sanaaa…Umeacha kazi ya kwenda kufundisha manyara ukaamua ku...
05/09/2023

HONGERA SANA KAZINZA…mwalimu uliyeamua kufanya mambo makubwa sanaaa…Umeacha kazi ya kwenda kufundisha manyara ukaamua kuwekeza nguvu kujifunza namna ya kujenga biashara kubwa sanaaa…LEO HII UNAPATA MARA 6 YA MSHAHARA AMBAO UNGEENDA KUUPATA MANYARA..na ndio kwanza kazi inaanza…NAKUONA MBALI SANAA…kinachonifurahisha zaidi mbali na pesa unazotengeneza umejishindia ticket yako ya bure kuelekea Mauritius for vacation na mume wako kpnz…ME CAN’T WAIT…tunaenda kulala 5 Star hotel..Treatment moja amaizing…Hakika the future is soo bright

Wow hongera sanaa Annet James kwa kazi nzuri unayofanya…AM SOO PROUD OF YOU…ndani ya miezi michache sanaa uliyofanya hii...
05/09/2023

Wow hongera sanaa Annet James kwa kazi nzuri unayofanya…AM SOO PROUD OF YOU…ndani ya miezi michache sanaa uliyofanya hii biashara umefanya mambo makubwa sanaa…HR by proffesional..imagine Annet alipitia wakati mgumu sanaaa kazini…BOSS ALIMTONGOZA NA KUMLAZIMISHA ATEMBEE NAE LA SIVYO ANAMUACHISHA KAZI..Anneth akachagua kuacha kazi mwenyewe akaamua kujenga biashara..KUBWA SANAA NA SASA HIVI ANATENGENEZA PESA NYINGI KULIKO MSHAHARA WAKE NA AMEJISHINDIA TICKET YAKE YA KWENDA DUBAI…uwiiii✈️✈️✈️✈️💃🏽💃🏽✈️✈️✈️✈️💥💥💥

Wow hongera sanaaa my dear…FAITH MFAMASIA AMBAYE HUJARITHIKA NA MSHAHARA..KWA MUDA WAKO WA ZIADA BADALA USHINDE INSTAGRA...
05/09/2023

Wow hongera sanaaa my dear…FAITH MFAMASIA AMBAYE HUJARITHIKA NA MSHAHARA..KWA MUDA WAKO WA ZIADA BADALA USHINDE INSTAGRAM KUMUANGALIA KAJALA NA HORMONIZE UMEAMUA KUUTUMIA MUDA WAKO VZR SANA KUJENGA BIASHARA MOJA KIBOKOOO…!keep going my darln…Hongera sana kwa kuqualify trip ya Dubai…✈️✈️✈️✈️✈️mambo yanaunguzaaa sanaaaa

HONGERA SANAAA NOELA VEDASTUS…MHITIMU MWENYE AKILI TIMAMU NYIEREE HII BIASHARA NI KIBOKOOOOO WAKATI WENGINE WANAJIANDAA ...
05/09/2023

HONGERA SANAAA NOELA VEDASTUS…MHITIMU MWENYE AKILI TIMAMU NYIEREE HII BIASHARA NI KIBOKOOOOO WAKATI WENGINE WANAJIANDAA KUTEMBEZA BAHASHA NOELA ANA BONUS YA MIL1.7…HIVI UNAJUA MUOMBE MUNGU AKUPE JICHO LA TATU…HUKU KWETU KUMENOGAAAAA SANAAAA…KEEP GOING MY MJUKUU..NDEGE NDEGEEEE NDIO KILA KITU DADA..✈️✈️✈️✈️✈️✈️

NAPENDAA KUMTAMBULISHA KWENU MKURUGENZI  MPYA ANAITWA FABIOLA ALBERT ALIANZA HII BIASHARA AKIWA MWANAFUNZI PALE UDSM MWA...
05/09/2023

NAPENDAA KUMTAMBULISHA KWENU MKURUGENZI MPYA ANAITWA FABIOLA ALBERT ALIANZA HII BIASHARA AKIWA MWANAFUNZI PALE UDSM MWAKA WA PILI NA K**ALIZA CHUO MWAKA HUU MWEZI WA SABA LEO HII MWEZI WA NANE KAIBUKA KIDEDEA K**A MKURUGENZI MPYAA ANAE ANZAAA KULIPWA ML1.2 KILA MWEZII NIKOOO NAFURAHA SANAA KATI YA WATU WANAOENDAA KUWA MATAJIRI DUNIA NAE ATAKUWEPO NI KWAMBIE TU ANAMIAKA 23 NYIEEEE HONGERAAA SANA FABIOLA ALBERT KWA STEP YAKOO MOJAA KIBOKOOO 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 KEEP GOING UNAWEZA SANAAA UPCOMING SAPPHIRE DIRECTOR KARIBU SANA KWENYE GROUP LA DIRECTOR TANZANIAAAA 🙏

HONGERA SANAA BRAND NEW DIRECTOR ABELA TWINOMUJUNI…YAAANI ULIANZA HII BIASHARA MKUTANO WA WANAWAKE SINZA LION UKANIAMBIA...
05/09/2023

HONGERA SANAA BRAND NEW DIRECTOR ABELA TWINOMUJUNI…YAAANI ULIANZA HII BIASHARA MKUTANO WA WANAWAKE SINZA LION UKANIAMBIA NI LAZIMA UFANIKIWE…NINACHOKUPENDEA UNAPENDA SANA KUJIFUNZA…UNA UTHUBUTU MKUBWA SANAA..WAKATI WAFANYAKAZI WENZAKO WANASEMA WAKO BUSY WEWE UPO UNATUMIA MUDA WAKO VZR UNAJENGA BIASHARA KUBWA SANAAAA…KEEP GOING DADA YANGU KPNZ..MY SUPER DOWNLINE KAZI NDIO KWANZA IMEANZA…NDEGE NDEGE NDIO HABARI YA MJINI✈️✈️✈️✈️✈️✈️✈️

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when grace_na _fursa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share