Directions

BABAS 18 YEARS OLD ENTREPRENEUR

27/08/2026
Leo nimepata nafasi ya kukutana na kufanya mazungumzo na MH DIWANI,  mfanyabiashara na (C.E.O) wa Tosh Company Limited.M...
15/07/2026

Leo nimepata nafasi ya kukutana na kufanya mazungumzo na MH DIWANI, mfanyabiashara na (C.E.O) wa Tosh Company Limited.

Mazungumzo yetu yamegusa kwa kina masuala ya biashara, uongozi na sekta ya logistics sekta ambayo ninaendelea kujifunza, kukua na kujenga safari yangu ndani yake.

Ni muhimu sana kwa kijana anayejenga safari yake ya biashara kupata nafasi ya kukaa na watu wenye uzoefu, kusikiliza mitazamo yao na kujifunza kutokana na safari walizopitia.
-

Baby steps 🐾.
02/05/2026

Baby steps 🐾.

Leo nimepata heshima ya kumkaribisha ofisini mwanamke ambaye safari yake ni ushahidi kuwa mafanikio yanajengwa, sio kupe...
14/04/2026

Leo nimepata heshima ya kumkaribisha ofisini mwanamke ambaye safari yake ni ushahidi kuwa mafanikio yanajengwa, sio kupewa. ( DR JUDITH MHINA )

Kutoka kuajiriwa CRDB Bank miaka ya 90, mpaka kumiliki meli na kuanzisha himaya ya biashara kupitia PMM Estates (2001) Ltd Nchini, mnamo 1995,

kampuni yenye mchango mkubwa katika sekta ya logistics nchini, ikijumuisha
usimamizi wa container depots (ICD), uhifadhi wa makontena huduma za kusogeza biashara ndani na nje ya nchi N.K.
-

▶·|||||||||||||| 0:09 .
02/04/2026

▶·|||||||||||||| 0:09 .

EID MUBARAK !
20/03/2026

EID MUBARAK !

“Honored to meet the visionary leader behind  ,  &  — true inspiration in leadership and innovation .
18/09/2025

“Honored to meet the visionary leader behind , & — true inspiration in leadership and innovation .

👣…. !
12/09/2025

👣…. !

Address

Along University Road, Mlimani
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when BABAS posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share