30/06/2025
..
kikuu cha msongo wa mawazo ni tamaa. Pale unapotamani kuwa na vitu ambavyo vipo nje ya uwezo wako unazalisha msongo wa mawazo kwenye mwili wako kwa kiasi kikubwa sana....!
ya sasa yamejengwa kwenye mashindano ya kutaka kitu kwa sababu fulani anacho au kila mtu anacho...!
haya yamepelekea watu wengi kuingia madeni ili kupata wanachotaka pamoja na majuto baada ya kupata walichokitamani...!
ya Kupata walichokitaka
madeni wanayobaki nayo huwa chanzo cha wao kuwa na maisha ya msongo wa mawazo pamoja na majuto ndani yao....!
yangu Acha tamaa , acha kushindana na wengine, usitamani maisha ya mtu mwingine hujui yamebeba nini ndani yake....!
usitamani mafanikio kwa njia nyepesi bila juhudi yoyote ile.Usiishi maisha yasiyokuwa na uhalisia wa uwezo wako, ishi maisha yako kwa ukamilifu yanayoendana na kipato chako.....!
yangu: Katika wimbo wa Tamaa mbaya ulioimbwa na Twenty Percent 20% kuna mambo ya kujifunza Anasema kuwa; Tuliza moyo wako , Kubali mapungufu yako, Rahisisha mahitaji yako , Ongeza kipato chako # na mwisho tamaa mbaya .
, Fanya kile unachoweza kufanya kwa vile ulivyo sasa, na k**a kuna kitu kipo nje ya uwezo wako usijilazimishe nacho kiruhusu kipite ili uepukane na msongo wa mawanzo.....!
tamaa kijana , ni wimbo ulioimbwa na Les wenyika Tafuta wimbo huu utakufunza mengi pia...!
Tuzidi kujifunza, Tusichoke Kujifunza....
0742 169 776