MHS Consults Limited

MHS Consults Limited We help businesses streamline their operations, increase profitability and stay compliant by offering

Happy Maulid Nabii! 🌙✨May this special occasion bring peace, unity, blessings, and prosperity to you and your loved ones...
25/08/2026

Happy Maulid Nabii! 🌙✨

May this special occasion bring peace, unity, blessings, and prosperity to you and your loved ones.

✨Wishing you a blessed and peaceful Maulid Nabii celebration!

Jina la kampuni yako likikataliwa, usipaniki! 🚨Kukataliwa kwa jina si mwisho wa safari ya kusajili kampuni yako. Cha muh...
24/08/2026

Jina la kampuni yako likikataliwa, usipaniki! 🚨

Kukataliwa kwa jina si mwisho wa safari ya kusajili kampuni yako. Cha muhimu ni kufahamu sababu ya kukataliwa na kuchagua mbadala unaokidhi vigezo vya usajili.

💡Kuwa na majina kadhaa ya chaguo, epuka kurudia kosa lilelile, na hakikisha jina lako linafaa kabla ya kuendelea na mchakato.

📌Jina lako limekataliwa au hujui k**a jina ulilochagua linafaa?

📞Wasiliana nasi kwa 0655 292 854 tukusaidie kukagua jina na kukuongoza kwenye mchakato wa usajili wa kampuni.

17/08/2026

📅 KUMBUKUMBU MUHIMU YA KODI!

Je, uko tayari kuwasilisha marejesho yako?
📍Tunakukumbusha kuwa tarehe ya mwisho ya kuwasilisha na kulipa VAT na DST kwa mwezi Julai 2026 ni tarehe 20 Agosti 2026.

📌Epuka adhabu na usumbufu wa dakika za mwisho kwa kuwasilisha mapema.

✅MHS Consults tupo hapa kukusaidia kurahisisha mchakato mzima wa kodi za biashara yako kwa ufanisi mkubwa!

📞 Wasiliana nasi kwa +255 555 282 854

Kabla hujasajili kampuni, hakikisha una taarifa sahihi na muhimu kuhusu usajili. Usajili wa kampuni unahitaji kuzingatia...
14/08/2026

Kabla hujasajili kampuni, hakikisha una taarifa sahihi na muhimu kuhusu usajili.

Usajili wa kampuni unahitaji kuzingatia mambo k**a jina la kampuni, wakurugenzi na wanahisa, anwani, mtaji, aina ya kampuni na nyaraka zinazohitajika.

📌Usikosee kwenye hatua za mwanzo.
✅MHS Consults tupo tayari kukusaidia kuandaa na kufuatilia usajili wako kwa usahihi.

📞 Wasiliana nasi leo kupitia +255 655 292 854

Unajua umuhimu wa Tax Clearance kwenye biashara yako? Mara nyingi biashara huendelea vizuri, lakini zinapohitajika lesen...
12/08/2026

Unajua umuhimu wa Tax Clearance kwenye biashara yako?

Mara nyingi biashara huendelea vizuri, lakini zinapohitajika leseni au fursa fulani, ndipo umuhimu wa kuonyesha Tax Clearance unapojitokeza.

👇Hapa kuna mambo muhimu ya kuzingatia:
◾Mahitaji ya Kisheria na Fursa: Inahitajika unapoomba leseni au zabuni mbalimbali za kibiashara.

◾Uthibitisho wa Compliance: Inakupa uthibitisho rasmi kuwa uko sawa na masuala yako ya kodi.

📍Usisubiri dharura itokee, hakikisha returns na majukumu yako katika hali nzuri kabla ya kuomba cheti.

📌Je, unahitaji Tax Clearance lakini hujui k**a compliance yako iko sawa? Usijali, MHS Consults tupo kukusaidia kufuatilia na kutimiza mahitaji yako yote ya kodi kwa urahisi!

📞Wasiliana nasi kupitia +255 655 292 854

Wiki mpya, hatua mpya, na biashara bora! Usiache mambo muhimu ya biashara yako yaendelee kusubiri wakati huu ndio wakati...
10/08/2026

Wiki mpya, hatua mpya, na biashara bora!

Usiache mambo muhimu ya biashara yako yaendelee kusubiri wakati huu ndio wakati sahihi wa kupiga hatua.

👇Je, unahitaji msaada katika kusajili biashara au kampuni , Huduma za Kodi, Branding, au Website?

✅MHS Consults tupo hapa kukupa Ideas, Strategies, na Solutions zitakazofikisha biashara yako ngazi inayofuata.

📞Wasiliana nasi leo kupitia +255 655 292 854 tukusaidie

Happy Farmers’ Day! 🌾Today we celebrate the hardworking farmers who feed our communities, drive economic growth, and con...
08/08/2026

Happy Farmers’ Day! 🌾

Today we celebrate the hardworking farmers who feed our communities, drive economic growth, and contribute to a stronger agricultural sector.

We recognize that agriculture is not just farming, it’s a business with opportunities to grow, formalize, and reach bigger markets.

To every farmer, thank you for feeding the nation and building the future.

📍Ready to turn your agricultural idea into a thriving business?
📩 Contact MHS Consults today for professional business and consultancy support.

📞Contact Us 0655 292 854

Unaahirisha Usajili Wa Kampuni Kwa Sababu Ya Hofu Hii? 👉Unafikiri usajili wa kampuni ni kwa ajili ya biashara kubwa tu? ...
07/08/2026

Unaahirisha Usajili Wa Kampuni Kwa Sababu Ya Hofu Hii?

👉Unafikiri usajili wa kampuni ni kwa ajili ya biashara kubwa tu?

Ukweli ni kwamba, biashara yako haihitaji kuwa kubwa ili ianze kuwekwa kwenye msingi rasmi. Usajili unaweza kukusaidia kujenga uaminifu, kuongeza fursa za biashara na kujiandaa kwa ukuaji wa biashara yako.

Usisubiri biashara iwe kubwa ndipo uanze kuweka msingi wake.

📞Wasiliana nasi kwa +255 655 292 854 na tuzungumze kuhusu hatua za kusajili kampuni yako.

06/08/2026

Unataka kusajili biashara au kampuni yako bila kupoteza muda wala kufanya makosa? Usihangaike!

MHS Consults tuko hapa kukusaidia kurahisisha mchakato mzima kwa ufanisi na usalama.

Huduma zetu zinajumuisha
◾Kusajili Kampuni au Jina la Biashara
◾Kupata TIN na Tax Clearance
◾Kupata Leseni ya Biashara
◾Kuweka Misingi Sahihi ya Kodi na Compliance

📌Wasiliana nasi tukusaidie kusimamia usajili wa biashara mpya na zinazoendelea haraka na kwa usalama!

📞 Wasiliana Nasi kupitia +255 655 292 854

Je, biashara yako ina misingi itakayoiwezesha kudumu hata miaka ijayo? Kujenga biashara inayokuwa kunahitaji maono ya mb...
04/08/2026

Je, biashara yako ina misingi itakayoiwezesha kudumu hata miaka ijayo?

Kujenga biashara inayokuwa kunahitaji maono ya mbali. Unapoanza kwa kuweka mifumo madhubuti na kufanya usajili rasmi, unaiweka biashara yako kwenye nafasi nzuri ya kushirikiana na kampuni kubwa, taasisi, na kuvutia wateja wa kuaminika

✋Usisubiri changamoto zikufikie ndipo uchukue hatua. Wekeza kwenye usajili rasmi wa kampuni yako leo.

📌Wasiliana nasi leo tukusaidie mchakato mzima kwa urahisi na weledi.
📞Wasiliana nasi kwa 0655 292 854

Address

University Road, Savei
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 08:00 - 20:00
Tuesday 08:00 - 20:00
Wednesday 08:00 - 20:00
Thursday 08:00 - 20:00
Friday 08:00 - 20:00
Saturday 08:00 - 20:00

Telephone

+255764725595

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when MHS Consults Limited posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to MHS Consults Limited:

Shortcuts

Share