Malkia_wa_nguvu05

Malkia_wa_nguvu05 Nafundisha biashara kwa mtaji mdogo

21/07/2023

Ili kuhudhuria tupigie 0672 258205 au bonyeza link kupata ticket yakoπŸ‘‡

 Wanawake ni kundi la muhimu na linaloheshimiwa sana katika Jamii yetu.Pamoja na kuwa siku hizi kuna wanawake waliojiriw...
01/07/2023

Wanawake ni kundi la muhimu na linaloheshimiwa sana katika Jamii yetu.

Pamoja na kuwa siku hizi kuna wanawake waliojiriwa wanalipwa mishahara,kuna wanawake wanafanya biashara na kujitengenezea kipato.

Lakini majukumu yamekuwa mengi sana..wanawake tumekuwa ni walezi wakubwa wa familia zetu na jamii kwa ujumla

Hata hvyo licha ya kufanya kazi kwa bidii na kujitolea,bado wengi tunakabiliwa na changamoto za kifedha na wengi wetu hutafuta njia mbalimbali za kujiongezea kipato nje ya ajira.

Good News ni kwamba..ikiwa unapenda biashara na kujiongezea kipato kwa Muda wako wa ziada bila kuathiri shughuli zako zingine kwa kutumia simu yako tu Ya mkononi..NINAYO NJIA RAHISI SANA YA KUKUSAIDIA

Uzuri ni kwamba mtaji wa kuanzia ni mdogo sana ukilinganisha na biashara nyingine nyingi..

NATAFUTA WANAWAKE SERIOUS KUMI TU wa kufanya nao kazi kwa ukaribu kwa huu mwaka.

1.Tafadhali Nipigie simu moja kwa moja direct kwenye namba yangu 0672258205 au nitumie ujumbe whatsap kwa namba hiyo hyo…
nilazima

Jambo kubwa na special kwaajili ya mtu aliyesaidia maisha ya watu wengi sana Hongera Sana kiongozi tunajivunia wewe .πŸ™πŸ™πŸ”₯...
28/06/2023

Jambo kubwa na special kwaajili ya mtu aliyesaidia maisha ya watu wengi sana Hongera Sana kiongozi tunajivunia wewe .πŸ™πŸ™πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

KUTAKUWA NA MAFUNZO KWA WATU WOTE AMBAO WANATAKA KUPATA KIPATOENDELEVU KUPITIA BIASHARA.πŸ“ž0672258205
28/06/2023

KUTAKUWA NA MAFUNZO KWA WATU WOTE AMBAO WANATAKA KUPATA KIPATO
ENDELEVU KUPITIA BIASHARA.
πŸ“ž0672258205

Board of directorsπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
28/06/2023

Board of directorsπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

Kushindwa kupanga ni kupanga kushindwa. Tunamikakati mikubwa sana. Mwezi wa Saba tutakuwa lakenaivasha Mombasa Kenya.πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯...
28/06/2023

Kushindwa kupanga ni kupanga kushindwa. Tunamikakati mikubwa sana.
Mwezi wa Saba tutakuwa lakenaivasha Mombasa Kenya.πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯.

ATTENTION!UKIONA HILI TANGAZO CHUKUA HATUA SASA HIVIKutana na  Plan kabambe ya kusaidia wanawake kujenga biashara kubwa ...
26/06/2023

ATTENTION!
UKIONA HILI TANGAZO CHUKUA HATUA SASA HIVI
Kutana na Plan kabambe ya kusaidia wanawake kujenga biashara kubwa sana kwa mtaji mdogo
Wanawake tunaweza sio msemo tu ifanye iwe part ya maisha yako..
K**a wewe ni mwanamke na unasoma post hi, kila siku unaweka bundle kufwatilia umbea wa insta leo nataka nikuonyeshe jinsi bundle lako linavyoweza kukuingizia 30000 mpk lakil kwa siku..
Haraka sana follow akupe muongozo wa kujenga biashara yako..
Huu mwaka wanawake tumeacha kulalamika tunapambania ndoto zetu..
K**a unataka mabadiliko katika maisha yako mfollow

usiendelee kulalamika maisha magumu@malkia _wa_nguvu05 ni mkombozi wa wanawake

Address

Dar Es Salaam
79000DSM

Telephone

+255672258205

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Malkia_wa_nguvu05 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share