15/10/2025
Wanawake Jasiri, Fursa Kubwa!
Tunakutana Jumapili hii tarehe 19/10/2025 katika MKUTANO MKUBWA WA BIASHARA Ngome House, kuanzia saa 7 mchana.
π Elimu ya biashara
π Mitandao ya mafanikio
π Motisha ya kiuchumi
USIKOSE! Mahali ambapo wanawake wanaamka na kuamka kwa kishindo!
π +255 673 860 423 kwa maelezo zaidi.