Fanikiwa_tips

Fanikiwa_tips Nafundisha & Kusaidia Vijana Na WANAWAKE Kujenga Biashar, Kufikia malengo wakiwa na Furah
0753022359

📌
14/05/2025

📌

Hakikusha upi kwenye Uelekeo Sahihi ✍️✍️
11/05/2025

Hakikusha upi kwenye Uelekeo Sahihi ✍️✍️

Kuona ni uwezo wa kutazama vitu k**a vilivyo, MAONO ni Uwezo wa Kuona vitu k**a ambavyo vinapaswa kuwa. 📌📌.    Ukielewa ...
10/05/2025

Kuona ni uwezo wa kutazama vitu k**a vilivyo, MAONO ni Uwezo wa Kuona vitu k**a ambavyo vinapaswa kuwa. 📌📌.
Ukielewa hii vizuri hauta waamini wanao kuvunja moyo.

Watu kutoka Tanzania, Kenya, Congo & Uganda Tupo kenya kwa ajiri ya mafunzo maalumu ya uongozi ni ile fursaambayo tuliia...
07/05/2025

Watu kutoka Tanzania, Kenya, Congo & Uganda Tupo kenya kwa ajiri ya mafunzo maalumu ya uongozi ni ile fursaambayo tuliianza tukiwa na changamoto byingi nauhitaji wa kuongeza TU kipato sasa imekuwa ni zaidi ya hayo📌

07/05/2025
Wakati Tukifanya training ya team mapema Jana, ni katika kuwapa support wale ambao wameshaamua kuanza biashara na wameon...
05/05/2025

Wakati Tukifanya training ya team mapema Jana, ni katika kuwapa support wale ambao wameshaamua kuanza biashara na wameonyesha bidii na kuanza kulipwa bonus zakila mwezi na kampuni ya neolife international ambayo imetubadilishia maisha watu wengi sana kwasasa.

Training yetu hapamillennium towers Makumbusho imeenda vema sana na mkakati wetu nikuhakikisha kilaaliyeanza biashara af...
05/05/2025

Training yetu hapamillennium towers Makumbusho imeenda vema sana na mkakati wetu nikuhakikisha kilaaliyeanza biashara afikie hatua ya kuanza kulipwa na kampun angarau 1m kwa mwezi ambayo ni ngazi ya Ukurugenzi..

Kila mtu anaweza kuongeza kipato nje ya shughuli zake, ajira, biashara, masomo, N.K...

Address

Mwenge
Dar Es Salaam
255

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Fanikiwa_tips posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Fanikiwa_tips:

Share